Usisahau hii ni Tanzania!BOT iko kikatiba na kisheria hivyo hilo la raisi kuifuta bila kubadili vifungu vya kikatiba hana ubavu huo
Anaweza kutenguliwa..nilisikia hivyo kabla lkn nikasoma katiba sehemu inayoonyesha uteuzi na ukomo wa jaji mkuu nikaona kipengele kinachomruhusu rais kutengua sikumbuki ibara na niko mbali na katiba ukiweza soma kipengele cha jaji mkuu utaona. Hata kipengele kinachomruhusu rais kumteua kaimu jaji alichohoji lissu pia kipo.Cheo cha jaji mkuu ndo akiwezi maana akiteua hawezi tena kutengua
Na magenius tuwateje sasa?Ur genius
Balali hakutenguliwa, alienda matibabu nje ya nchi [Marekani]akafia huko huko na kuzikwa huko huko.Hivi kumbe Daud Balali hakuwa Gavana?
Kwahiyo Kikwete alitenguwa uteuzi wa nani?
Una uhakika?Balali hakutenguliwa, alienda matibabu nje ya nchi [Marekani]akafia huko huko na kuzikwa huko huko.
Hivi huyu huwa ni Ke au Me? Maandishi yake huwa kama ya mtu aliyepigana vita akachanganyikiwa halafu huwa anaandika kwa phrase siyo sentensi. Alishanitukana niliongea kuhusu matokeo ya uchaguzi Masaki akanijibu mimi naishi Manzese. I think he is Me na nahisi ni Muraaaa. Natania genta asinishukie.Wewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
Barbarosa umejuaje kuwa ni dada. Nasikia wakudadavua amepata uwaziri, sijui watu wanajuaje!Wewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
Master mind of .......Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
Huyu ameongea kimafumbo inaonekana anataka gavana atumbuliwe ila ameshindwa kuwa directWewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
Huyu ameongea kimafumbo inaonekana anataka gavana atumbuliwe ila ameshindwa kuwa directWewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
Usidhani ukaaminiNadhani ni kweli hii..
Nakumbuka Magufuli anavyoingia madarakani alikuwa anatofautiana nae sana lakini alishindwa kumtoa..
Hao nawajua hata kwa sura zaoBarbarosa umejuaje kuwa ni dada. Nasikia wakudadavua amepata uwaziri, sijui watu wanajuaje!
Mbona Kikwete alimtema Daudi Ballali baada ya tume kuona alikuwa na tatizo? Tena akamteua Prof Ndullu mara moja? Tuwe na kumbukumbu.Gavana wa Benki Kuu, huyu ndiye Kiongozi pekee unaweza hata kusema ana nguvu sawa na Raisi wa JMTZ, ingawaje anateuliwa na Raisi wa JMTZ lkn ana nguvu zisizo onekana, huko kwingine koote Raisi wa JMTZ anaweza kuteua na kupindua atakavyo ila kwa Gavana wa Benki ni breki!
Na ukitaka regime change, jaribu kugusa Gavana wa Benki KUU!
Jiulize swali moja, unafikiri Serikali ya Raisi Magufuli inapenda matumizi ya Dola kila mahali? Unafikiri wanapenda bureau de change kuzagaa kila mahali?
Unafikiri wanapenda shilingi yetu ishuke thamani dhidi ya dola?
Unafikiri hawawezi kuzuia na kubadilisha hayo mara moja?
Jibu ni hapana, Gavana wa Benki Kuu anawakilisha Washington dc na maslahi hivvyo hata akistaafu anatefwata ni lzm Washington imuizinishe, ...
Ndulu aliteuliwa baada ya Balali kwenda kucheki afya nje ya nchi isiyojulikana ila baadaye tulipata taarifa kuwa alifia Marekani na kuzikwa huko huko. Hata hivyo ndo mamlaka ya Mwisho, ana uwezo wa kumteua yeyote na kumtengua. Hata huyo jaji Mkuu hakatizi kwa Rais maana hao majaji sijui 6 wanaojadili pendekezo pia wameteuliwa na Rais.Mbona Kikwete alimtema Daudi Ballali baada ya tume kuona alikuwa na tatizo? Tena akamteua Prof Ndullu mara moja? Tuwe na kumbukumbu.
Movie ya uyo Gavana nadhani watanzania wenye akili timamu hawatoisahauBalali hakutenguliwa, alienda matibabu nje ya nchi [Marekani]akafia huko huko na kuzikwa huko huko.