Huyu ndo mpinzani aliyebaki!

Huwa najiuliza kama huyo anayepimwa mkojo ndio jiniaz chama kizima na ndio wanamtegemea kuwasemea katika kila kitu.

Ujue chama kina hali mbaya sana.
Ukiona kila mtu kwenye Chama Cha Makinikia ni ndio mzee kwa mwenyemeza mzee KOMWE ujue chama tajwa kimeishiwa mbinu
 
Acha kushikashika matapishi dogo! Raisi alishakataa misaada siku nyingi, na hilo lipo wazi!
Chuki mbaya sana!Amesahau kuwa rais alishasema nchi inastahili kufadhili nchi nyingine siyo kufadhiliwa na juzijuzi kanena wananchi walime pamba itengeneze nguo zikichakaa tupeleke mitumba ulaya!
 
Kuandika kwenyewe hujui,je unategemea utaweza kujenga hoja GT wakakuelewa kweli? Huu muda ungetumia kusoma ili ujue kusoma na kuandika ili uje kuteuliwa DC au RC mkuu.
Jibu hoja zake kama unasharubu za kutosha kichwani!
 
Kwan Rais Wako anaposema watu waishi kama mashetani anawaombea mema nawe jitathimi kama upstairs pako sawa
 

Hivi ukisema kitu hatutaki kwa jeuri kwaniaba ya watu ,lakini inakua sio watu wote wasiota kikawaida maana wewe hukuwauliza,je inakuwa hukufanya makosa ?, wapo watu ambao kawaida wanakusaidia baadae anatokea mtu anawaambia wale wanaokusaidia msimpe huyu,inakua mkosa aliesema hataki au aliesema usipewe .
 
hoja yako ni ipi? maelezo megi, ebu bainisha hoja
 
Kwan Rais Wako anaposema watu waishi kama mashetani anawaombea mema nawe jitathimi kama upstairs pako sawa
kwani alisema wewe ndo utaishi kama shetani?? au wewe nae ni fisadi kama mbowe
 

Jibu la hoja: Hiyo ni sera ya ujamaa na kujitegemea kama ilivyo sera ya CCM kwa mujibu wa katiba ya CCM na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Jibu la zaidi: tunaelewa vizuri kwani ndio tutafikiri zaidi namna ya kujitegemea na kujikomboa kiuchumi badala ya kubaki tegemezi. Mfano, kusitishwa kwa Millennium Challenge Corporation au Account. Kwa kifupi, hayo sio mabaya bali ni mazuri endapo unageuza upande wa pili wa shilingi.

Jibu la swali: mpinzani mwenye 'unafuu' kwa nani? Sisi tunataka mpinzani asiyekuwa na unafuu wa aina yeyote, kwa sababu mwenye nafuu anakuwa karibu sana na anayetawala hivyo maana ya upinzani kutoweka na kwa kawaida binadamu wote wanamitazamo tofauti, hivyo huwezi lazimisha mitazamo. Suala la kutafakari tukiwa kama sehemu ya wamiliki wa nchi tumekwisha maliza.
 
Magufuli alisema hii nchi ni tajiri haihiitaji misaada,kuliko kumlaumu Lissu,ungetakiwa ufurahi na umwambie Lissu kua amiri jeshi mkuu alishasema hatuhitaji misaada ya watu was nje,kwahiyo hiyo hali itokee tu.

Mimi nashangaa baadhi ya watanzania wa aina yako,Magu akiongea hivi hupingi,mwingine akiongea unapinga,nashindwa kuwaelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi baba anaomba msaada kwa jirani halafu akipata anatumia kulewa pombe na kupata kiburi cha kuja kuwatandika watoto wake, je hamtaomba jirani asimpe msaada ili akili imkae sawa?
 
Na anayewatakia watanzania wenzake waishi maisha kama shetani unamfikiriaje?
 
Hivi baba anaomba msaada kwa jirani halafu akipata anatumia kulewa pombe na kupata kiburi cha kuja kuwatandika watoto wake, je hamtaomba jirani asimpe msaada ili akili imkae sawa?
unafikiria kilisu lisuu, kwani ukipewa msaada, unapewa na matumizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…