Huyu ndo mpinzani aliyebaki!

misaada ya nini katika utawala wa ki dikteta uchwara? nyie si mnajidai mnauwezo wa kujitegemea sasa misaada ya nini? wafukuzeni acacia mchimbe wenyewe kama mnafikiri ni rahisi.
lissu kaongwa na ACACIA milioni 300, analopoka ninyi mnashangilia
 
kama mnaushahidi wa huo upuuzi wa polepole si muupeleke mahakamani?
Tuna mbana na sasa hakuna kutoka Dar. mnafiki amezoea kuongwa, lowasa kampa milioni 15, kafuta kauli, ACACIA wamempa milioni 300 anakampeini nchi inyimwe msaada, nyie wajinga mnashangilia
 
Tuna mbana na sasa hakuna kutoka Dar. mnafiki amezoea kuongwa, lowasa kampa milioni 15, kafuta kauli, ACACIA wamempa milioni 300 anakampeini nchi inyimwe msaada, nyie wajinga mnashangilia

kam mna ushahidi kwanini msimshtaki
 
Cheti feki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unakumbuka Mwalimu Nyerere alivyopiga jaramba dunia nzima kuihimiza dunia iwanyime misaada Waafrika Kusini.

Hoja ya Wazungu ilikuwa kwamba watakaoumia ni Waafrika weusi. Mwalimu akasema "potelea mbali cha muhimu ni Makaburu washike adabu". Mwisho ukawa, uhuru ukapatikana.

Leo madikteta wa CCM hawataki hoja yao hii itumike dhidi ya udikteta wao. Wanafanya kila njia kuhakikisha misaada wanapata ili waitumie kunyanyasa watu. Haikubaliki!!!
 
Huwa najiuliza kama huyo anayepimwa mkojo ndio jiniaz chama kizima na ndio wanamtegemea kuwasemea katika kila kitu.

Ujue chama kina hali mbaya sana.
 

Link VIDEO: Polisi wamemzuia Fatma Karume Kuongea na Waandishi wa Habari, Wabishana dakika kadhaa

Link2. News Alert: - NEW HEROINE IN STRUGGLE FOR DEMOCRACY

Link3. Uchochezi: Prof. Lipumba 'kama Rais Magufuli'
 
Bora ulivosema "mashabiki" umetumia kauli ipasayo.
ujinga wa WaTz ni kuleta ushabiki kwenye kila kitu kama vile simba na yanga....
kuna vitu havitaki ushabiki ,vinataka akili zichanganuazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki lissu mbona alitangazia mataifa yatunyime msaada
Kwani tunaogopa nini na mtukufu wetu alisema waje wao waombe kwetu? Lisu kusema watunyime misaada si angejibiwa hatutegemei misaada ya wahisani?? Simple!! Povu nguvu kubw zile mbwembwe za 1.5T Ziko wapi??
 
"Nchi hii ni tajir, haihitaji misaada ili kujiendesha, tuna uwezo wa kujenga railway (SG) wenyewe kwa pesa yetu". Hayo ni maneno ya rais, je na yeye hafahamu anachokifanya, na maneno yake yanajengaje nchi na wananchi?
 
Prof. Lipumba ndo mpinzani pekee aliyebaki.
 
Hiyo misaada ikija inakusaidia wewe mnufaika na top lakini watanzania 95% ambao ni masikini haiwasaidii wakiamka asubuhi hawajui siku itaishaje wakati wewe unafikiria ku clear fridge na store ya chakula kutupa vitu visivyo hitajika. Haya ni maisha ya Mtanzania kwa zaidi ya miaka 50 na hakuna mabadiliko yoyotena haki ndiyo inazidi kuwa mbaya. Wakilalamika wanambiwa wanauza unga huu ndiyo msemo mpya. Zamani ilikuwa wavivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…