Mwandiko wenyewe umenipa jibu, sitaki kuhoji sanaPoleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.
HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.
bwege ni lissu ambaye anawaombea wapiga kura wake njaa
katiba ya chadema au katiba ipi, ambayo inasema mbunge awaombee njaa, shida wapiga kura wake?huyo ni raia kama walivyo raia wengine , amejaribu kuonesha ni jinsi gani nchi inayo jidai inaendeshwa kwa misingi ya kidemocrasia inavyo haribu maksudi democrasia ,kwahiyo kwanini ahukumiwe kwa jicho la kipinzani wakati anahoji na kutoa maoni yake kwa mujibu wa katibaaaaaa?
Kwa uandishi huu,kuna kila sababu ya JF kusajili members kwa "vyeti halisi" walau hata kidato cha nne.weweee, kila anaye shangilia ujinga wa lissu, anashida fulani fulani hivi, aidha anatumia unda, viloba, au hana vyeti
bwege ni lissu anaye waombea shida, mnamshangilia, wewe ni mnafiki huwezi kumshangilia mtu anaye kuombea mabaya
kina sugu, lema, kubenea, prof.j hawatapaka nafasi. au na wewe umelopoka bila kujua, lissu alilopoka, hakujua kuwa nchi ikinyimwa msaada ata wapiga kula wake wataathirikaKwa uandishi huu,kuna kila sababu ya JF kusajili members kwa "vyeti halisi" walau hata kidato cha nne.
Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
Uzalendo ni kuhonga madiwani?
wewe hujui madhara ya nchi kunyimwa msaada?? muulize ata K.ubenea atakujibumabaya yapi anayo tuombea? acha ulevi wa madarak wewe mla makombo ya watawala
mabaya yapi anayo tuombea? acha ulevi wa madarak wewe mla makombo ya watawala
huna hoja, pengine ulopoke tu, tumewazoea, lopokaMwandiko wenyewe umenipa jibu, sitaki kuhoji sana
haki zipi? kwani umenyang'wanywa mke? fikiri nje ya box, lissu ni kibaraka wa ACACIA na atashindwa tuHaki za binadamu ni kubwa sana kuliko.Misada ya fedha. Heri ufe kishujaa kuliko kuishi kwa kunyimwa haki za ubinadamu.... Wanye akili nyingi ndio wanaweza kuliona hili
Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi kaka huyu jamaa ana macho lakini haoniWatu kama huyu ndiyo mtaji mkubwa wa chama cha wahuni na mafisadi Mkuu, hawajitambui hata chembe!
vipi kubenea na suguEndelea kulopoka.
Wewe umezidi bora Bashite
Poleni sana kwa kazi nyingi za kutwa nzima.
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua juu ya wasemaji na viongozi wa vyama vya siasa, hususani hawa wanao jiita wambinzani.
Binafsi naamini siasa ni sera, siasa ni hoja, upinzani ni fikra tofauti za kimtazamo na sii vinginevyo.
HOJA: sasa ikiwa kiongozi wa siasa anabaki kuwaombea wananchi mabaya, eti nchi hinyimwe misaada ni sera ipi, hii ni hoja ipi kisiasa na inachenga vipi chama na wanachama??
ZAIDI: je sisi tunaoshangilia tunapoombewa mabaya yatufike tunafahamu tunachokifanya?
Swali: hakuna mpinzani mwenye unafuhuu, ? huyu ndo pee aliyebaki?? washabiki wake mjitafakari kungari mchana.
mshangilie mbowe tu, anaekula ruzuku wale wanabaki kuandamana tuupo sahihi kaka huyu jamaa ana macho lakini haoni mpuuzi saana
wewe mshika mkoba wa lissuu, hujui madhara ya nchi kunyimwa msaada?? muulize ata kilaza kubenea atakujibu
umesema vyema,Mbona Rais alisema hataki misaada kwasababu aliepita alikua ombaomba lakini amkumkemea?
umesema vyema, Rais. sasa huyu mshenzi anae leta ushezi kisa kapewa milioni 300 na ACACIA