Huyu ndo Mbowe, kaja na plan B na daima hatabiriki!

Huyu ndo Mbowe, kaja na plan B na daima hatabiriki!

Alitakiwa Mzee Mtei mwenyewe mwenye Chadema yake aliyesema tume ya katiba imejaa waisalamu ndiye angelitolea ufafanuzi siyo Mnyika. Kumbuka "anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo" na Mzee Mtei ndiye Nyerere wa Chadema, kwa mtazamo ule wa udini Mtei hawezi kukubali huo umoja wenu mgombea awe muislamu

Mtahangaika sana!
 
ni kweli kaka, hata kweny soka sisi tunaita Game-Plan. hiki ni kitu muhimu sana kabla ya mechi kuanza. Hata mimi nakubali CDM ni chama makini kwani kupambana na CCM kwa propaganda hizo wanazozitumia ilikuwa kazi kubwa mno.

Hata hivyo tumshukuru mwana CCM yeyote yule aliyeshiriki kuuanzisha mchakato huu wa katiba mpya kwani ndiye hasa aliyefanikisha hii plan B na CDM kuanza kazi kwa urahisi.
 
Ni kweli ndiyo maana alitumia mtaji wake kuwauzia magari mabovu chadema na kuwa mahusiano ya karibu Joyce Mukya?


Mbona mliiga mkanunua kama yale yale?
 
Back
Top Bottom