"Tume ya mabadiliko ya katiba imejaa waislamu" Edwin Mtei
"Kambi ya upinzani kuungana na CUF si rahisi kwa vile naona kama chama cha kiislamu vile" Mzee Ndesamburo
Je hawa wazee watakubali Prof. Lipumba kugombea urais kwa tiketi ya Ukawa?
Wenzako wa Lumumba unajua hali zao? uwe na huruma ndg!
Hata mimi hili jambo limenifurahisha sana. na kwa kweli kila mchambuzi wa siasa hata wananchi wa kawaida ukiwauliza kuhusu vyama vya upinzani wanakuambia wanatakiwa waungane. Ina maana hiki ndicho wananchi wananchotaka. lakini muwe makini na CCM maana wako tayari kuhonga watu nmabilioni ili walete chokochoko katika umoja huu. muwe macho na msiendekeze mambo ya kuwagawa.
Vibabu vyako Mtei na Ndesamburo vitakubali huo umoja mgombea akiwa muislamu?Mtaongea sana lakini kamanda keshapata dawa yenu, ni kuunganisha nguvu kuelekea ukombozi wa pili na wa kweli.
Vibabu vyako Mtei na Ndesamburo vitakubali huo umoja mgombea akiwa muislamu?
Mbowe is the best INNOVETOR IN Tanzania
Long life Mbowe
Long Life CHADEMA
Long life Tanganyika
Hiki ulichokiandika ni kweli umetumia akili au umejivesha UJINGA ndugu? kama Mbowe hajafanya chochote kwa nini nyie maCCM mnatumia nguvu nyingi kumchafua lakini inashindikana?Tangu lini mbowe akafanya kazi au jambo lenye mafanikio kwa chama au taifa.
Hiki ulichokiandika ni kweli umetumia akili au umejivesha UJINGA ndugu? kama Mbowe hajafanya chochote kwa nini nyie maCCM mnatumia nguvu nyingi kumchafua lakini inashindikana?
Disco joker
nasikia hata mkutano wa kibandamaiti umekua postponed mpaka bunge la muungano liisheTangu lini mbowe akafanya kazi au jambo lenye mafanikio kwa chama au taifa.
Yale yale ....huo UKAWA UTAKUFA TU.kwani wafuasi wake hawatakuwa tayari kuona Kiongozi wa UKAWA anawania nafasi ya URAIS zaid ya mgombea kutokea CHADEMA na hapo ndipo CCM itabeba kama inamsukuma mlevi.sababu wafuasi wa Chadema always ni wabaguzi wanaibembeleza CUf na NCCR kwa manufaa yenu angalieni watanzania siyo wajinga kwa kiasi hiko
Ni kweli Watanzania sio wajinga kiasi hicho,ila werevu ni hawa hapa kwa akili yako.
View attachment 154656
Sent from my iPad using JamiiForums
chama makini cha ACT kinajiandaa kuchukua nchi mwakani