Huyu ndo Mbowe, kaja na plan B na daima hatabiriki!

Huyu ndo Mbowe, kaja na plan B na daima hatabiriki!

Hiyo ni lazima maana Kakobe amesema wanaodai Tanganyika wana Mungu ndani yao na wanaopinga Tanganyika wana shetani ndani yao!

Kwa kweli hao wasiotaka Tanganyika wanashetan ndan yao yan Tanganyika nchi yako afu unakuta jitu linakataa urith wake ni kichekesho
 
  • Thanks
Reactions: mpk
mipango ya chadema yote imefeli kuanzia operation chopa mpaka m4c
 
Sasa ni mashambulizi tu
Kamanda wa anga freeman
Mkuu wa makombando ibrahim
Mkuu wa kikosi cha aridhi tindu
Mkuu wa kikosi cha maji wilbord
Mkuu wa kikosi cha mawasiliano james
Aisee ccm bye bye dadadeki full kikosi
very strange....
kamanda wa anga....MAKENGEZA
Mkuu wa makomando...... SHO.....G.....A
mkuu wa kikosi cha ardhi......... MZEE WA CHA ARUSHA
mkuu wa kikosi cha maji.......... MSALITI WA MUNGU NA IMANI YAKE
mkuu wa kikosi cha mawasiliano......... NI MKE MDOGO WA SEBASTIAN YUSUPH(BABA MERRY)
hilo jeshi haliwezi hata kusimama against CHIPUKIZI tuliowaona juzi uwanja wa uhuru wakifanya HALAIKI
 
very strange....
kamanda wa anga....MAKENGEZA
Mkuu wa makomando...... SHO.....G.....A
mkuu wa kikosi cha ardhi......... MZEE WA CHA ARUSHA
mkuu wa kikosi cha maji.......... MSALITI WA MUNGU NA IMANI YAKE
mkuu wa kikosi cha mawasiliano......... NI MKE MDOGO WA SEBASTIAN YUSUPH(BABA MERRY)
hilo jeshi haliwezi hata kusimama against CHIPUKIZI tuliowaona juzi uwanja wa uhuru wakifanya HALAIKI

Lazima umetoka kile chuo alichofuzu yule mama wa kuufyata na kuufyatua!
 
Katika kikao kimoja tulichofanyia Mwanza mwaka jana mwishoni Mbowe aliwakuna wajumbe alipotupa siri kwamba alikataa kuwa mwenye kiti wa Chadema mpaka kamati kuu walipokubali mashariti yake. Baadhi ya mashariti ilikuwa kumuomba na kamati kuu ikubali Dr Slaa awe Katibu mkuu badala ya makamu mwenyekiti, kuruhusu kufungua milango ili aingize watu toka vyama vingine na kubadilisha rangi za bendera ya chama. Alitwambia jisi alivyopata shida kuwashawishi wazee wa chama kukubali kombati kuwa vazi la chama na kadhalika. Ilikuwa story ya kuvutia sana!

Leo wakati Ccm wakidhani tuna tofauti kubwa sana na vyama vingine hasa Cuf, na walijitahidi sana kupanda chuki kati yetu. Na zaidi walijitahidi kuivuruga Chadema kwa kutumia mamluki, kumbe Kamanda wa anga anafkiria kitu kikubwa zaidi. Ametoka na plan B amabayo inawafanya Ccm warudi kwenye drawing board kupanga upya mbinu tofauti na hii ya mamluki. Kwa vyovyote sasa mbinu ni kuchonganisha huu muungano maana hauwezi kuwaacha salama.

Mchambuzi yoyote wa siasa anajua kwamba tukiingia kwenye uchaguzi kwa muungano huu Ccm watatoka jasho kweli kweli. Muungano huu utasambaratisha kabisa propaganda ya udini na ukabila, utasambaratisha propaganda ya uchu wa madaraka. Lakini italigawa taifa katika kanda ambazo ni rahisi kupiga kampeini kulingana na sehemu vyama vinavyokubalika. Itapunguza mzigo wa gharama maana utashughulikia eneo dogo kwa ufanisi.

Long live Kamanda Mbowe!

mbowe ni kiongozi bora
 
Sasa ni mashambulizi tu
Kamanda wa anga freeman
Mkuu wa makombando ibrahim
Mkuu wa kikosi cha aridhi tindu
Mkuu wa kikosi cha maji wilbord
Mkuu wa kikosi cha mawasiliano james
Aisee ccm bye bye dadadeki full kikosi

Umemsahau Mkuu wa kikosi cha mizinga Mtikila.
 
Kama wataweza kukubaliana katika kuungana, basi zile sababu za ukatoliki, ukaskazini nk. zitakuwa hazina nguvu tena. Sasa sijui itatafutwa slogan ipi nyingine ya kuwachafua. Ni vyema watawala wetu waachane na propaganda, wafanye mambo yao kwa uadilifu, na wapambane na changamoto kwa uhalisia wa mambo.

Mazungumzo yanayoendelea kama yakikwama ntajua Ccm wameenda kwa Sangoma labda!
 
NINASHAUKU YA KUONA JAMBO HILI LINATUKIA HARAKA IWEZEKANAVYO, naamini UTAKUWA MUUNGANO WENYE NGUVU kwa sababu vyama vingi kwa sasa vimeshakuwa na uzoefu wa kutosha kisiasa. Bila shaka njama nyingi za Magamba zitakwama kwa sasa. VIVA MBOWE, VIVA LIPUMBA, VIVA MBATIA, kwa sasa uungwaji mkono wa Magamba ni mdogo sana. watahangaika kweli kweli na UKAWA.
 
Nafurai sana kunganisha nguvu na ndipo ninapokubali kua tulianza na Mungu tupo na Mungu natutamaliza na Mungu
 
very strange....
kamanda wa anga....MAKENGEZA
Mkuu wa makomando...... SHO.....G.....A
mkuu wa kikosi cha ardhi......... MZEE WA CHA ARUSHA
mkuu wa kikosi cha maji.......... MSALITI WA MUNGU NA IMANI YAKE
mkuu wa kikosi cha mawasiliano......... NI MKE MDOGO WA SEBASTIAN YUSUPH(BABA MERRY)
hilo jeshi haliwezi hata kusimama against CHIPUKIZI tuliowaona juzi uwanja wa uhuru wakifanya HALAIKI

sio bure nahc mume uliye naye amekuacha ndo mana una taabika,pole sana ndugu maccm yamevurugwa yana tapatapa.
 
Tanzania tungekuwa na PM kama mbowe ambaye ni Innovative, nchi hii tungekuwa mbali. Siyo wale wanaokalia kulia tu adharani na kugawa hela Dodoma katika dinner mbalimbali huku wakipingan a mani ya watani katikasimu ya katiba!
 
Back
Top Bottom