Huyu ndo kamchapa Raila Odinga viboko.Picha & Video

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
wq.jpg video
wq.jpg
[video=youtube_share;XoJTwr47w68]http://youtu.be/XoJTwr47w68[/video]
 
Jamaa mahakamani kajitetea alikuwa anaona kama Odinga anacheza kwa ukaribu na mke wake ha!ha! jamaa anaonekana Wivu mwingi na roho inamuuma nashukuru kaomba samahani lakini Mh viboko ameisha pata.
 
Hahaha chezea wivu eeh...kuna watu wakali na mali zao
 
Hahahaha hii video inachekesha sana naona odinga amebaki tu anacheka kupoozea viboko alafu huyo mzee ana hasira sana
 
Alijuaje kuwa atacheza na mkewe hadi akaingia na kiboko? Mie naona kama alishajiandaa. Alijua nini anaenda kufanya.

Kuna msigano mkubwa sana unaendelea kati ya wajaluo/ waluo na wakikuyu
Mwezi uliopita Uhuru K alienda kwenye mji wa wajaluo kufanya mkutano wakamrushia Viti sasa naona nao wamelipiza kwa kumcharaza viboko
Kenya ukabila bado ni tatizo kubwa
 
Duuh mtu mzima kuchapwa halafu kwa kustukiza lazma viume
 
Alijuaje kuwa atacheza na mkewe hadi akaingia na kiboko? Mie naona kama alishajiandaa. Alijua nini anaenda kufanya.

Jamii nyingi ya wakulima na wafugaji hutembea na fimbo kama wamasai na visu au virungu hivyo bado anaweza kujitetea.
 
Jamaa mahakamani kajitetea alikuwa anaona kama Odinga anacheza kwa ukaribu na mke wake ha!ha! jamaa anaonekana Wivu mwingi na roho inamuuma nashukuru kaomba samahani lakini Mh viboko ameisha pata.
Kweli wivu mbaya aisee sasa angemkuta anagegedwa ingekuwa je khaaa!
Pia nasikia mahakama imebaini kuna nati imelegea kwa kichwa yake
 
Inabidi ipate matengenezo ya kufungwa vizuri ha!ha!ha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom