Huyu ndo kamchapa Raila Odinga viboko.Picha & Video

Huyu ndo kamchapa Raila Odinga viboko.Picha & Video

kiukweli huyu mzee anajua kucharaza viboko maana viboko vitatu vimempata kisawa sawa mpaka nimesikia raaaahaaa.... mm najua hakuna mtu anayeweza kufanya jambo kama hili bila kuwa na sababu, maana hawa wanasiasa wanawafanya wananchi kama kondoo kuwa hawana akili
 
Walinzi nao inaonekana walikuwa na wenyewe wameingia kucheza ngoma wakasahau majukumu yao.

Mkuu, walinzi? Hata White House ya Obama imavamiwa na jamaa mwenye kisu mpaka East Room akiwapita walinzi kibao wenye silaha, tena ambao wanaruhusiwa kuua bila kuulizwa maswali. Siku yako ikifika imefika tu. Kula njiti nenda zako umeshika adabu. Ulinzi wako anaujua Mungu tu kwa sababu Mungu asipoulinda mji yeye aulindaye afanya kazi bure.
 
hako kadada kwenye kiti cha blue ni karembo aisee!
 
Mkuu, walinzi? Hata White House ya Obama imavamiwa na jamaa mwenye kisu mpaka East Room akiwapita walinzi kibao wenye silaha, tena ambao wanaruhusiwa kuua bila kuulizwa maswali. Siku yako ikifika imefika tu. Kula njiti nenda zako umeshika adabu. Ulinzi wako anaujua Mungu tu kwa sababu Mungu asipoulinda mji yeye aulindaye afanya kazi bure.

Kweli mkuu hii kitu niliiona aisee.
 
unajua watu masikini vitu vifuatavyo ni vitu muhimu sana usije ukajaribu kucheza navyo karibu ,chakula ,pombe , mwanamke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom