James ni mfungwa katika gereza la machizi,siku moja akawaambia marafiki zake,''naanza kufanya mazoezi ya kuruka geti ili baada ya miezi mitano nitoroke kwa kuruka geti'' james akaanza mazoezi ya kuruka,muda ulipofika akawaaga machizi wenzie akawaambia ''leo nakwenda kuruka geti nitoroke'' akaondoka,baada ya muda kidogo james akarudi huku amenyong'onyea,wenzake wakamuuliza,mbona umerudi?james akajibu ''nimeshindwa kuruka geti na kutoroka kwa sababu geti lilikuwa wazi''