Huyu ndiyo mwanamke mzuri kuliko wote huko South Sudan!!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
b4f1fb966ea469716ccf35515fa38e92.jpg
 
Hiyo sura au mkaa? Khaaaaa. Yaani ameshindwa hata kununua cream ya 1000 tu atoe huo weusi? Kweli wazungu wana haki kuwaita manyani.
 
Namuwazia tu maumivu aliyopitia kupata hizo alama/urembo wa kwenye paji la uso....
 
Hiyo sura au mkaa? Khaaaaa. Yaani ameshindwa hata kununua cream ya 1000 tu atoe huo weusi? Kweli wazungu wana haki kuwaita manyani.
NYANI? are u seriously supporting white ppo for calling black ones nyani? Tema mate chini na muogope muumba wako, kama ww unatoaga hiyo buku kwajili ya kununua cream kuukana uhalisia wako basi ww zamwamwa, Mungu ndo kamuumba hivyo na akaona ni vyema, wewe binadamu ni nani hadi uulize kama hiyo sura au mkaa? NaKuonea huruma maskin wa fikra na mtumwa usiye na minyororo, shame on you, ptuu. Acha kukosoa kaz ya Mungu, hujui kesho utaamkaje, siku unaweza kumwagiwa tindikali ukawa kama kituko na hapo ndo utataman japo sura ya huyo unayemwita mkaa, sikuombei mabaya though ila nakukumbusha Mungu hadhihakiw.
 
Back
Top Bottom