Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,980
- 14,741
Kwani ana shida gani?
Nimekupa ruhusa kuileta picha yangu jamii forum mkuu 🤔😠😠😠😠😠😠
Kuwa na heshima na picha za watu kukutumia pm umekuja kuniweka huku😠😠😠
Nimecheka sana mkuu .. hivi umekunywa chai na kitafunio gani asubuhi yote hii.?Anafanana na P.M wetu( peter mwafilombe)
Nimeuliza kama ndiyo yeye, naona kama umekuja na tafsiri yakoKwani ana shida gani?
Anafanana na P.M wetu( peter mwafilombe)