Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
431
Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

Denis Mpagaze
___________________

1. Wazazi wake walitamani awe Padre wa Jimbo akawa Rais wa nchi. Sisi tunapanga na Mungu anapangua.

2. Aliingia madarakani nchi ikiwa imedumaa kiuchumi, akatawala kwa falsafa ya “Huwezi kupata maendeleo bila kubadili fikra!”

3. Akasisitiza watu wafikiri. Waliozembea kufikiri aliishia kuwatukana kwamba ni wavivu wa kufikiri.

4. Mkapa alifundishwa na Mwl. Nyerere pale Pugu. Baada ya Pugu Nyerere alienda kutafuta uhuru wa nchi, Mkapa akaenda kutafuta uhuru wa fikra huko Makerere.

5. Walikuja kukutana tena na Nyerere kila mtu amepata alichokwenda kutafuta, wakapiga kazi pamoja kuijenga nchi.

6. Nyerere Rais, Ben Katibu Tawala Dodoma, vyeo vikaanza kumgombania, mara balozi, mara mbunge, mara waziri, mara Rais!

7. Mkapa akiwa Rais aliamini ili Tanzania iendelee ilihitaji taasisi imara na siyo watu imara. Akaanza kujenga taasisi hizo bhana.

8. Palipo na umasikini alijenga TASAF maskini wakaanza kula na kushiba.

9. Palipokosa uhakika wa matibabu alianzisha bima ya afya watu wakawa na uhakika na afya zao.

10. Palipojaa rushwa alianzisha TAKURU kuitokomeza rushwa kwa kiasi chake.

11. Waliokosa ada za vyuo vikuuu, alianzisha Bodi ya Mikopo watoto wa maskini wakatinga vyuo vikuu kwa mbwembwe na ushamba ndani yake.

12. Palipo na upotevu wa mapato, alianzisha TRA, mapato yakaongezeka karibu mara tatu kutoka dola 612,587 hadi dola 1,796,862 kwa mwezi.

13. Ili kuzipa hadhi rasilimali za wanyonge alianzisha MKURABITA kurasimisha ardhi yao ikapata maana.

14. Ili kuvutia uwekezaji alianzisha TIC, wageni wakachangamkia fursa wazawa wakasinzia.

15. Katika kuimarisha usalama wa nchi alianzisha TISS nchi ikawa na usalama wa uhakika.

16. Mkapa alishirikisha taasisi za dini kuchochea elimu nchini.

17. Alitoa majengo ya Sekondari ya Mazengo kwa Waanglikana wakaanzisha St. Joseph University Dodoma.

18. Akatoa majengo ya Sekondari ya Magamba Rushoto wakapewa Walutheri wakaanzisha Sebastian Kolowa Memorial University

19. Alitoa majengo ya Benki Iringa kwa wakatoliki wakafungua Ruaha University.

20. Alitoa majengo ya TANESCO Morogoro wakapewa waisilamu wakaanzisha Chuo Kikuu cha Kiislamu.

21. Elimu ya chuo kikuu Tanzania ikawa kitu cha kawaida, vyuo vikuu vilizagaa kila kona ya nchi.

23. Ili kuwapa ahueni maskini, Mkapa alifuta kodi ya kichwa. Zamani kuna wazee walishinda porini wamejificha hawana kodi wasidakwe na mgambo.

24. Mkapa alifuta hadi kodi ya baiskeli na mifugo ili kumpa ahueni maskini, halafu alidhibiti mfumko wa bei hadi maskini wakaanza kunywa chai.

25. Katika utawala wake kilo ya sukari tuliinunua kwa shilingi mia tano kwa muda mrefu! Haikupanda.

26. Mkapa alipenda kusema sisi ni maskini mfukoni lakini matajiri kichwani. Hii kali!

27. Hatuwezi kuweka fedha mifukoni mwenu ila tutandaa mazingira ya kupata pesa alisisitiza.

28. Mkapa hakupenda kuabudiwa. Alikataa kuitwa Mtukufu Rais kama walivyoitwa Mtukufu Al-Hassan Mwinyi na Mtukufu Daniel Arap Moi

30. Alikataa picha yake kutumika kwenye sarafu, alikataa kuitwa daktari pamoja na kutunukiwa PhD kibao za heshima.

31. Hata barabara ya kwenda kwao imekuja kujengwa na Rais Magufuli, yeye aligoma kujenga.

32. Hata huu uwanja wa mpira umekuja kuitwa kwa jina lake baada ya kuondoka duniani. Unaitwa Mkapa Stadium. Halafu yeye ndo aliujenga.

33. Ni uwanja wa kisasa kweli kweli hadi Brazil wakaja kuweka kambi tukawaona akina Ricardo Kaka, Robinho Do Santos na Ruis Fabiano live.

34. Mkapa hakupenda kuonyeshwa kwenye TV mara kwa mara kama Moboutu Seseko wa Zaire ndo maana aliwashauri waonyeshe mambo ya maendeleo na changamoto za vijijini.

35. Hata aliposaidia watu hakuhitaji kuitangazia dunia kama mnavyofanya nyie.

36. Mkapa alikuwa msomaji mzuri wa vitabu ndo maana alijua mengi!

37. Kutosoma vitabu ni kujiongezea janga la umaskini alipenda kusema Mkapa.

38. Mbele ya Mkapa kama husomi na kufanya tafiti alikuona takataka.

39. Hotuba za Mkapa zilikonga nyoyo za wengi kwa sababu ya utamaduni wake wa kusoma sana.

40. Enzi zake nchi ilikaa kimya kumsikiliza mwanaume akihutunia kupitia kwenye TV.

41. Halafu alikuwa na majibu ya kuudhi balaa hasa ukimuuliza swali lilitofautiana na fikra zake.

42. Mkapa atakumbukwa kama Rais aliyekuza uchumi, kujenga taasisi imara na kufanya makosa kwenye ubinafsishaji na uuzaji wa nyumba za serikali.

43. Ila alitubu miezi nane kabla ya kufa kwake sababu kukosea ni ubinadamu kukiri makosa ni uungwana.

44. Mkapa ndo alikuza uhuru wa habari. Hakula chakula cha jioni kabla ya kusikiliza taarifa ya habari.

45. Alisoma sana magazeti hadi barua za wasomaji na wakati mwingine aliwaagiza wasaidizi kuwatafuta waandishi wa barua zilizomgusa.

46. Waandishi wengi wa Tanzania aliwaita wavivu wa kufikiri kutokana na aina ya habari walizoandika na maswali mepesi waliyomuuliza.

47. Mkapa amewahi kutangaza RTD na kuhariri magazeti ya chama pamoja na Daily News, alitumia jina la bandia kuwakosoa viongozi kupitia gazeti.

48. Alijiita "Mwana wa Matonya! Lakini pia ndo mwanzilishi wa SHIHATA, yaani Idara ya Habari Maelezo ya leo.

49. Katika utawala wake Mkapa alikutana na majanga mazito yakamuimarisha badala ya kumdhofisha ndo maana hakuikimbia Ikulu.

50. Mei 21, 1996, mwaka mmoja tu baada ya kuingia madarakani likatokea balaa la kuzama kwa meli ya MV Bukoba.

51. Mwaka uliofuta yaani 1997 tukapigwa na mafuriko ya el nino yakavuruga nchi.

52. Februari 13, 1998 sekeseke la mauaji ya mwembe chai likatia doa utawala wake.

53. Oktoba 14, 1999 baba wa Taifa akaondoka duniani katika utawala wake.

54. Januari 27, 2001 mauaji ya Pemba yakautia doa tena utawala wake

55. Julai 4, 2001 makamu wa Rais Dkt. Omar Ali Juma akaaga dunia!

56. Lakini pia Mkapa anasema alikuwa na wasiwasi pale Rais wa Zanzibar Salmin Amour alipotaka kubadilisha sheria na kutawala kipindi cha tatu.

57. Mkapa aliamini uwepo wa vyama vingi vya siasa unadhoofisha demokrasia ndo maana hakuvikubali kabisa vya vya siasa.

58. Aliwahi kusema ushauri unatokana na nguvu ya hoja tutaupokea lakini ushauri unatokana hoja ya nguvu tutaikataa.

59. Alisema vyama vinavyosema vinajiandaa kuikomboa Tanzania ni wapumbafu, malofa, Tanzania iliishakombolewa na CCM.

60. Mkapa alikuwa mume wa mke mmoja na watoto wawili Nicodemus na Steve.

61. Mkapa alioa mwaka 1966 akiwa kijana wa miaka 28. Alimuoa Anna Joseph Shauri Maro wakati huo mtumishi wa wizara ya habari, aliyesomea Uingereza.

62. Ndoa yao ilifungwa ukweni Moshi katika kanisa katoliki. Mkapa alibaki kuwa mkatoliki kwa maisha yake yote na Anna ameendelea kuwa mlutheri hata sasa kwa sababu walipendana kwa dhati.

63. Wazo la Mkapa kugombea Urais lilianzia kwa Jenerali Ulimwengu na vijana wenzake waliokuwa bungeni enzi hizo, wazo likaenda kwa Mzee Warioba na kufika kwa Mkapa

64. Mkapa akalipeleka kwa wife, theni kwa jamaa zake na mwisho kwa Mzee Nyerere.

65. Nyerere alishangaa lakini akakubali kumuunga mkono ingawa alikuwa na mgombea wake, Salim Mohammed Salim.

66. Wengi walipigwa butwaa siku Mkapa alipochukua fomu. Jamaa hakuwa na umaarufu kwa sababu aliishi sana nje.

67. Lakini pia hakuwa muongeaji sana hadi Augustine Mrema akamwita "Bubu".

68. Kuna magazeti yaliandika kwamba Ken Mkapa wa Yanga alijulikana zaidi Tanzania kuliko Mkapa.

69. Kwenye kampeni za Mkapa, Jenerali Ulimwengu alikuwemo, sema walikuja kuzinguana baadaye!

70. Nimalizie kwa kusema, Mkapa alikuwa mtu wa matani na vichekesho pia.

71. Hata ule upara alisema ulitokana na kubeba vyombo shuleni. Shuleni walijipikia.

72. Anasema alipokuwa chuoni watoto wa kike walimzimia kishenzi kwa sababu ya kujeng hoja zilizosisimua.

73. The Big Ben amelala lakini fikra zake ziko macho. Kwa uhondo zaidi, Soma kitabu chake cha My Life My Purpose.
 
My best president ever mkapa hakuwahi kuteka watu hata mauwaji ya mwembe chai na Pemba ililazimu sana kutumia nguvu ila haikuwa option yake Mzee yule Rais Bora sana afrika imewahi kupata.
 
Wazo la Mkapa kuwa Rais likitoka kwa Dk. Kitine tumeambiwa soma tàarifa ya kifo cha aliyekuwa mkurugenzi wa tissue
 
Mkapa atakumbukwa kwa kujenga mifumo imara katika nchi kwa kuanzisha taasisi na kutengeneza sera zenye muelekeo wa kujisaidia nchi. Mkapa kama binadamu kuna makosa ya kiufundi aliyakiri kuyafanya kama vile ....
 
Rais wa zamani wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, alikiri wazi kuwa moja ya makosa makubwa katika utawala wake (1995–2005) lilikuwa ni ubinafsishaji usio na umakini wa mashirika ya umma.

🔹 Kosa Lililokiriwa: Ubinafsishaji Usio wa Uangalifu

Katika jitihada za kufungua uchumi na kuvutia wawekezaji wa ndani na nje, serikali ya Mkapa ilibinafsisha mashirika mengi ya umma. Hata hivyo, baadaye Mkapa alikiri kuwa:
  • Baadhi ya mashirika yaliuzwa kwa bei ya chini isiyolingana na thamani halisi;
  • Baadhi ya wawekezaji hawakuwa na uwezo wala nia ya kuyaendeleza mashirika hayo;
  • Wafanyakazi wengi walipoteza ajira, na hali ya maisha ya wananchi haikuboreka kama ilivyotarajiwa;
  • Huduma za jamii kama vile maji, afya na umeme ziliathirika vibaya baada ya mashirika husika kubinafsishwa;
  • Kulikuwa na kasoro katika usimamizi na uwazi wa baadhi ya mikataba ya ubinafsishaji.

📘 Kauli ya Mkapa katika kitabu chake “Maisha Yangu, Dhamira Yangu”:​

“Ninakiri kuwa tulifanya makosa katika baadhi ya ubinafsishaji. Tulikosa usimamizi madhubuti na mara nyingine tulikubali masharti yasiyokuwa na maslahi kwa taifa. Hili lilinifundisha kuwa mageuzi ya kiuchumi lazima yaambatane na ulinzi wa maslahi ya wananchi.”

Watu wamesahau wallikuwa wanavaa viraka ndo mwinyi akawatoa huko,

Watu wamesahau Mkapa na JPM ndo waligawa nyumba za masaki kwa mahara zao

Wamesahau kugawa viwanda kwa jamaa zao, tena kwa bei ya nusu bure
 
Huyu Ndiyo Hayati Benjamin Mkapa wa Tanzania!

Denis Mpagaze
___________________

1. Wazazi wake walitamani awe Padre wa Jimbo akawa Rais wa nchi. Sisi tunapanga na Mungu anapangua.

2. Aliingia madarakani nchi ikiwa imedumaa kiuchumi, akatawala kwa falsafa ya “Huwezi kupata maendeleo bila kubadili fikra!”

3. Akasisitiza watu wafikiri. Waliozembea kufikiri aliishia kuwatukana kwamba ni wavivu wa kufikiri.

4. Mkapa alifundishwa na Mwl. Nyerere pale Pugu. Baada ya Pugu Nyerere alienda kutafuta uhuru wa nchi, Mkapa akaenda kutafuta uhuru wa fikra huko Makerere.

5. Walikuja kukutana tena na Nyerere kila mtu amepata alichokwenda kutafuta, wakapiga kazi pamoja kuijenga nchi.

6. Nyerere Rais, Ben Katibu Tawala Dodoma, vyeo vikaanza kumgombania, mara balozi, mara mbunge, mara waziri, mara Rais!

7. Mkapa akiwa Rais aliamini ili Tanzania iendelee ilihitaji taasisi imara na siyo watu imara. Akaanza kujenga taasisi hizo bhana.

8. Palipo na umasikini alijenga TASAF maskini wakaanza kula na kushiba.

9. Palipokosa uhakika wa matibabu alianzisha bima ya afya watu wakawa na uhakika na afya zao.

10. Palipojaa rushwa alianzisha TAKURU kuitokomeza rushwa kwa kiasi chake.

11. Waliokosa ada za vyuo vikuuu, alianzisha Bodi ya Mikopo watoto wa maskini wakatinga vyuo vikuu kwa mbwembwe na ushamba ndani yake.

12. Palipo na upotevu wa mapato, alianzisha TRA, mapato yakaongezeka karibu mara tatu kutoka dola 612,587 hadi dola 1,796,862 kwa mwezi.

13. Ili kuzipa hadhi rasilimali za wanyonge alianzisha MKURABITA kurasimisha ardhi yao ikapata maana.

14. Ili kuvutia uwekezaji alianzisha TIC, wageni wakachangamkia fursa wazawa wakasinzia.

15. Katika kuimarisha usalama wa nchi alianzisha TISS nchi ikawa na usalama wa uhakika.

16. Mkapa alishirikisha taasisi za dini kuchochea elimu nchini.

17. Alitoa majengo ya Sekondari ya Mazengo kwa Waanglikana wakaanzisha St. Joseph University Dodoma.

18. Akatoa majengo ya Sekondari ya Magamba Rushoto wakapewa Walutheri wakaanzisha Sebastian Kolowa Memorial University

19. Alitoa majengo ya Benki Iringa kwa wakatoliki wakafungua Ruaha University.

20. Alitoa majengo ya TANESCO Morogoro wakapewa waisilamu wakaanzisha Chuo Kikuu cha Kiislamu.

21. Elimu ya chuo kikuu Tanzania ikawa kitu cha kawaida, vyuo vikuu vilizagaa kila kona ya nchi.

23. Ili kuwapa ahueni maskini, Mkapa alifuta kodi ya kichwa. Zamani kuna wazee walishinda porini wamejificha hawana kodi wasidakwe na mgambo.

24. Mkapa alifuta hadi kodi ya baiskeli na mifugo ili kumpa ahueni maskini, halafu alidhibiti mfumko wa bei hadi maskini wakaanza kunywa chai.

25. Katika utawala wake kilo ya sukari tuliinunua kwa shilingi mia tano kwa muda mrefu! Haikupanda.

26. Mkapa alipenda kusema sisi ni maskini mfukoni lakini matajiri kichwani. Hii kali!

27. Hatuwezi kuweka fedha mifukoni mwenu ila tutandaa mazingira ya kupata pesa alisisitiza.

28. Mkapa hakupenda kuabudiwa. Alikataa kuitwa Mtukufu Rais kama walivyoitwa Mtukufu Al-Hassan Mwinyi na Mtukufu Daniel Arap Moi

30. Alikataa picha yake kutumika kwenye sarafu, alikataa kuitwa daktari pamoja na kutunukiwa PhD kibao za heshima.

31. Hata barabara ya kwenda kwao imekuja kujengwa na Rais Magufuli, yeye aligoma kujenga.

32. Hata huu uwanja wa mpira umekuja kuitwa kwa jina lake baada ya kuondoka duniani. Unaitwa Mkapa Stadium. Halafu yeye ndo aliujenga.

33. Ni uwanja wa kisasa kweli kweli hadi Brazil wakaja kuweka kambi tukawaona akina Ricardo Kaka, Robinho Do Santos na Ruis Fabiano live.

34. Mkapa hakupenda kuonyeshwa kwenye TV mara kwa mara kama Moboutu Seseko wa Zaire ndo maana aliwashauri waonyeshe mambo ya maendeleo na changamoto za vijijini.

35. Hata aliposaidia watu hakuhitaji kuitangazia dunia kama mnavyofanya nyie.

36. Mkapa alikuwa msomaji mzuri wa vitabu ndo maana alijua mengi!

37. Kutosoma vitabu ni kujiongezea janga la umaskini alipenda kusema Mkapa.

38. Mbele ya Mkapa kama husomi na kufanya tafiti alikuona takataka.

39. Hotuba za Mkapa zilikonga nyoyo za wengi kwa sababu ya utamaduni wake wa kusoma sana.

40. Enzi zake nchi ilikaa kimya kumsikiliza mwanaume akihutunia kupitia kwenye TV.

41. Halafu alikuwa na majibu ya kuudhi balaa hasa ukimuuliza swali lilitofautiana na fikra zake.

42. Mkapa atakumbukwa kama Rais aliyekuza uchumi, kujenga taasisi imara na kufanya makosa kwenye ubinafsishaji na uuzaji wa nyumba za serikali.

43. Ila alitubu miezi nane kabla ya kufa kwake sababu kukosea ni ubinadamu kukiri makosa ni uungwana.

44. Mkapa ndo alikuza uhuru wa habari. Hakula chakula cha jioni kabla ya kusikiliza taarifa ya habari.

45. Alisoma sana magazeti hadi barua za wasomaji na wakati mwingine aliwaagiza wasaidizi kuwatafuta waandishi wa barua zilizomgusa.

46. Waandishi wengi wa Tanzania aliwaita wavivu wa kufikiri kutokana na aina ya habari walizoandika na maswali mepesi waliyomuuliza.

47. Mkapa amewahi kutangaza RTD na kuhariri magazeti ya chama pamoja na Daily News, alitumia jina la bandia kuwakosoa viongozi kupitia gazeti.

48. Alijiita "Mwana wa Matonya! Lakini pia ndo mwanzilishi wa SHIHATA, yaani Idara ya Habari Maelezo ya leo.

49. Katika utawala wake Mkapa alikutana na majanga mazito yakamuimarisha badala ya kumdhofisha ndo maana hakuikimbia Ikulu.

50. Mei 21, 1996, mwaka mmoja tu baada ya kuingia madarakani likatokea balaa la kuzama kwa meli ya MV Bukoba.

51. Mwaka uliofuta yaani 1997 tukapigwa na mafuriko ya el nino yakavuruga nchi.

52. Februari 13, 1998 sekeseke la mauaji ya mwembe chai likatia doa utawala wake.

53. Oktoba 14, 1999 baba wa Taifa akaondoka duniani katika utawala wake.

54. Januari 27, 2001 mauaji ya Pemba yakautia doa tena utawala wake

55. Julai 4, 2001 makamu wa Rais Dkt. Omar Ali Juma akaaga dunia!

56. Lakini pia Mkapa anasema alikuwa na wasiwasi pale Rais wa Zanzibar Salmin Amour alipotaka kubadilisha sheria na kutawala kipindi cha tatu.

57. Mkapa aliamini uwepo wa vyama vingi vya siasa unadhoofisha demokrasia ndo maana hakuvikubali kabisa vya vya siasa.

58. Aliwahi kusema ushauri unatokana na nguvu ya hoja tutaupokea lakini ushauri unatokana hoja ya nguvu tutaikataa.

59. Alisema vyama vinavyosema vinajiandaa kuikomboa Tanzania ni wapumbafu, malofa, Tanzania iliishakombolewa na CCM.

60. Mkapa alikuwa mume wa mke mmoja na watoto wawili Nicodemus na Steve.

61. Mkapa alioa mwaka 1966 akiwa kijana wa miaka 28. Alimuoa Anna Joseph Shauri Maro wakati huo mtumishi wa wizara ya habari, aliyesomea Uingereza.

62. Ndoa yao ilifungwa ukweni Moshi katika kanisa katoliki. Mkapa alibaki kuwa mkatoliki kwa maisha yake yote na Anna ameendelea kuwa mlutheri hata sasa kwa sababu walipendana kwa dhati.

63. Wazo la Mkapa kugombea Urais lilianzia kwa Jenerali Ulimwengu na vijana wenzake waliokuwa bungeni enzi hizo, wazo likaenda kwa Mzee Warioba na kufika kwa Mkapa

64. Mkapa akalipeleka kwa wife, theni kwa jamaa zake na mwisho kwa Mzee Nyerere.

65. Nyerere alishangaa lakini akakubali kumuunga mkono ingawa alikuwa na mgombea wake, Salim Mohammed Salim.

66. Wengi walipigwa butwaa siku Mkapa alipochukua fomu. Jamaa hakuwa na umaarufu kwa sababu aliishi sana nje.

67. Lakini pia hakuwa muongeaji sana hadi Augustine Mrema akamwita "Bubu".

68. Kuna magazeti yaliandika kwamba Ken Mkapa wa Yanga alijulikana zaidi Tanzania kuliko Mkapa.

69. Kwenye kampeni za Mkapa, Jenerali Ulimwengu alikuwemo, sema walikuja kuzinguana baadaye!

70. Nimalizie kwa kusema, Mkapa alikuwa mtu wa matani na vichekesho pia.

71. Hata ule upara alisema ulitokana na kubeba vyombo shuleni. Shuleni walijipikia.

72. Anasema alipokuwa chuoni watoto wa kike walimzimia kishenzi kwa sababu ya kujeng hoja zilizosisimua.

73. The Big Ben amelala lakini fikra zake ziko macho. Kwa uhondo zaidi, Soma kitabu chake cha My Life My Purpose.
Typical tanzanians

Leo anapambwa, lakini nakumbuka alivyokua anashambuliwa na kudhalilishwa enzi zile na makabrasha kibao yaliwekwa punlic including anben company iliyofunguliwa Luthuli street namba 1

Huwa Wanakuja wazuri wakiondoka tu
 
Watu wamesahau wallikuwa wanavaa viraka ndo mwinyi akawatoa huko,

Watu wamesahau Mkapa na JPM ndo waligawa nyumba za masaki kwa mahara zao

Wamesahau kugawa viwanda kwa jamaa zao, tena kwa bei ya nusu bure
Wengi wako humu no Gen zege ndio maana mitusi haikatiki
 
Ninamkumbuka sana kwa namba 24,25,26, 38, 41 na 43. Hakika kwangu ni Rais bora kwani nimeishi kipindi chake tangu nasoma, naaanza kazi, naoa mpaka sasa nina mjukuu.
 
Back
Top Bottom