Huyu ndiye rais

Ubora

JF-Expert Member
Sep 27, 2015
664
195
Huyu ndiye rais

IMG-20151002-WA0001.jpg

"Nataka ndugu zangu waaendelee na majukumu yao, mke wangu aachwe akafundishe, wanangu waendelee na mambo yao! Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie Watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno".- JOHN POMBE MAGUFULI
 
issenyestore

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
300
0
Huyu ndiye rais

"Nataka ndugu zangu waaendelee na majukumu yao,mke wangu aachwe akafundishe,wanangu waendelee na mambo yao!Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa mungu ili nikawatumikie watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno".- JOHN POMBE MAGUFULI
Nyerere Karudi Asante MUNGU
 
Wile GAMBA

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
1,809
0
Magufuli ni rais wa wanandondi? na waogeleaji kuelekea kigamboni? majivuni na ujeuri ndiyo hasa yaliyo mkosesha, kiburi si maungwana jibu atalipata 25Oct
 
KMANGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2014
673
500
ELIMU X 3. Hilo la Maguful kufanya kampeni peke yake bila kusapotiwa na mke wake kujua kama kuna tatizo ndani ya familia yake halihitaji elimu ya darasani, ila kwa nyie wapenzi wa JPM itawachukua muda sana kulitambua hilo.
Niliona kwenye CV yake sehemu ya familia imeandikwa; 'AMEOA NA ANA WATOTO KADHAA.' Kwa hakika hapo kwa watoto sikuelewa vizuri KADHAA inawakilisha nini hasa.
 
Hon Nkundwe

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
3,600
2,000
Huyu ndiye rais

View attachment 293621

"Nataka ndugu zangu waaendelee na majukumu yao, mke wangu aachwe akafundishe, wanangu waendelee na mambo yao! Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie Watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno".- JOHN POMBE MAGUFULI
Huyu ndo kura yangu Magufuri
 
navy boi

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
1,491
1,500
Huyu ndiye rais

View attachment 293621

"Nataka ndugu zangu waaendelee na majukumu yao, mke wangu aachwe akafundishe, wanangu waendelee na mambo yao! Jukumu lao kubwa ni kuniombea kwa Mungu ili nikawatumikie Watanzania kwa moyo wa dhati bila kiburi na majivuno".- JOHN POMBE MAGUFULI
Najivunia john pombe magufuli
Hakika rais tumempata
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom