Huyu ndiye rais atakayetufaa 2015

Huyu ndiye rais atakayetufaa 2015

MUTUU

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5
Reaction score
3
Baada ya utafiti wa muda mrefu na wenye kina bila kuathiriwa na maamuzi mbele, aliye sasa mkuu wa mkoa mmoja kusini mwa Tanzania afaa kuiongoza nnchi ya Tanzania 2015. Na huyu si mwingine bali ni Kanali mstaafu J. Simbakalia.

Hii inatokana na uwezo wake, muono na upeo wake, ukweli wake bila kujali macho ya watu, lakini zaidi uzalendo wa nnchi hii.

Uwasilisho wangu: Kuna watu wenye uwelewa zaidi wa mtu huyu waweza changia. Lakini pia najua pia wapo wengine wengi ambao majina yao hayajachakaa kwa kuyasikia kwenye vyombo vya habari kwa namna mbali mbali, nzuri au mbaya ambao pia wa uzalendo wa Taifa hili unaweza ukarusha hapa.
 
ukada wa ccm na uanajeshi ndizo sifa unazozizungumzia au uwezo wake wa kuwachapa raia vibao hadharani alipokuwa mkuu wa mkoa wa kigoma?
acheni kuitania taasisi ya URAIS maana utani uliofanyika matunda yake tunaendelea kuyaona!
 
Jina lenyewe halitamkiki ktk nafasi iyo..si ndo yule mkewe aliugua tumbo kamkimbiza Germany.,HATUFAI
 
Baada ya utafiti wa muda mrefu na wenye kina bila kuathiriwa na maamuzi mbele, aliye sasa mkuu wa mkoa mmoja kusini mwa Tanzania afaa kuiongoza nnchi ya Tanzania 2015. Na huyu si mwingine bali ni Kanali mstaafu J. Simbakalia.

Hii inatokana na uwezo wake, muono na upeo wake, ukweli wake bila kujali macho ya watu, lakini zaidi uzalendo wa nnchi hii.

Uwasilisho wangu: Kuna watu wenye uwelewa zaidi wa mtu huyu waweza changia. Lakini pia najua pia wapo wengine wengi ambao majina yao hayajachakaa kwa kuyasikia kwenye vyombo vya habari kwa namna mbali mbali, nzuri au mbaya ambao pia wa uzalendo wa Taifa hili unaweza ukarusha hapa.

Ndio ameenda kunadi sera hapa kwa Wamarekani: "Natural gas, discovered recently in coastal East Africa, has the potential to change the development equation in regional economic development and planning. Natural gas is coming ashore in Mtwara, Tanzania, a relatively undeveloped region in south-eastern Tanzania, which is creating opportunities and very serious social and environmental challenges. Colonel (Retd) Joseph Simbakalia, Regional Commissioner of Mtwara, is responsible for charting the future economic development plan for Mtwara. He will present the case to the audience and a distinguished faculty panel. This will be followed by responsive remarks from the panel, and an open question and answer period" - Committee on African Studies Regional Economic & Development Planning in East Africa: Natural Gas
 
Kama tumefikia hapa basi twende Igombe Kigoma na kuchukua nyani mmoja aje aongoze taifa. Maana inaonekana tumeishiwa sana hasa hawa wenye mawazo ya mgando wanaotuletea majina ya baba zao wa kufikia.
 
Baada ya utafiti wa muda mrefu na wenye kina bila kuathiriwa na maamuzi mbele, aliye sasa mkuu wa mkoa mmoja kusini mwa Tanzania afaa kuiongoza nnchi ya Tanzania 2015. Na huyu si mwingine bali ni Kanali mstaafu J. Simbakalia.

Hii inatokana na uwezo wake, muono na upeo wake, ukweli wake bila kujali macho ya watu, lakini zaidi uzalendo wa nnchi hii.

Uwasilisho wangu: Kuna watu wenye uwelewa zaidi wa mtu huyu waweza changia. Lakini pia najua pia wapo wengine wengi ambao majina yao hayajachakaa kwa kuyasikia kwenye vyombo vya habari kwa namna mbali mbali, nzuri au mbaya ambao pia wa uzalendo wa Taifa hili unaweza ukarusha hapa.

Hayo ni maneno tu tokana na unavyofikiria. . .
Ebu fafanua kwa mifano ili twende na actual facts!
 
Bora Mwanamalundi arudi aje atawale akinyooshea vidole Mafisadi wakauke hapohapo:target:
 
Baada ya utafiti wa muda mrefu na wenye kina bila kuathiriwa na maamuzi mbele, aliye sasa mkuu wa mkoa mmoja kusini mwa Tanzania afaa kuiongoza nnchi ya Tanzania 2015. Na huyu si mwingine bali ni Kanali mstaafu J. Simbakalia.

Hii inatokana na uwezo wake, muono na upeo wake, ukweli wake bila kujali macho ya watu, lakini zaidi uzalendo wa nnchi hii.

Uwasilisho wangu: Kuna watu wenye uwelewa zaidi wa mtu huyu waweza changia. Lakini pia najua pia wapo wengine wengi ambao majina yao hayajachakaa kwa kuyasikia kwenye vyombo vya habari kwa namna mbali mbali, nzuri au mbaya ambao pia wa uzalendo wa Taifa hili unaweza ukarusha hapa.

Kafanya nini kikubwa zaidi ya JESHINI? unaweza kuwa na AKILI na UPEO bado haufai kuwa RAIS; Kama Mzee Malecela
 
Kwanza ccm msijisahaulishe, sasa hivi mgombea atoke visiwani. Ama muungano mnavunja kabla ya 2015?
 
Kweli JK amishusha hadhi taasisi ya uraisi, yaani sasa kila mtu anaweza kuwa rais.
 
Back
Top Bottom