Huyu ndiye ng'ombe mkubwa zaidi duniani

Hapo kwenye red; kinachozungumziwa hapa sio "mgogoro wa wakulima" kama unavyotaka kupindisha bali migogoro ya wafugaji (maasai) kwa upande mmoja na wakulima kwa upande mwingine.

Hapo kwenye blue; historia (na vitabu vya dini) inasemaje? Kipi kilianza? Kilimo au ufugaji? [BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.]

Kwa kupenda ubishi tu, niliposema mgogoro wa wakulima wakati tunazungumzia wafugaji inaeleweka mgogoro wa wakulima na akina nani.........,unapenda lugha ya kurudiarudia wewe, nkisema mgogoro wa wakulima huelewi mpaka nisema na wafugaji haya ili ufurahi "mgogoro wa wakulima na wafugaji"
Eden ilikuwako wapi? Duniani ama mbinguni? sisi tunazungumzia hapa tunapoishi.
 
Back
Top Bottom