Huyu ndiye ng'ombe mkubwa zaidi duniani

Huo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
Hahahaha, eti pembe nzito kuliko ng'ombe.
 
Unashangaa ng'ombe kuwa na pembe nzito kuliko na wanazurura ovyo!
heee, vavooooooo, ulipotelea wapi aisee! siku nyingi sijakuona hapa JF! habari za miezi kadhaa? uko njema? karibu sana nimefurahi kuona comment yako nkoi
 
Nipo, nilikuwa buys na harusi ya brother maana ukishapewa uwenyekiti Na hii khali ya baba J inabidi uwe Na akili ya ziada maana mtu anatoa ahadi ya laki badaye anapunguza sifuri moja!
 
Huo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
Teh teh teh..... Umefanya nicheke kwasauti. Pembe nzito kuliko Ng'ombe mwenyewe.
 
Huo ndio ufugaji wa kisasa. Sio wale wa kimasai pembe nzito kuliko ng'ombe mwenyewe; kazi kuzurura nchi nzima toka Longido hadi Rufiji wao tu uharibifu kila mahali na social instability.
wewe jamaa umenifanya nicheke mpaka nimepaliwa! lol
ahsante u made my day
 
Jike... yaani anachukunya ni kingi mno kuliko anachukula
Hapo jumlisha na maji. Kwakua kinyesi chake huwa teketeke.
Lakini akina Ole wanaongoza kwa social instability kila wanakopita - Morogoro, Rufiji, Tanga, na maeneo mengine mengi. Ukisikia vurugu za wafugaji na wakulima hapo lazima mmasai yumo - msukuma na makabila mengine sio kivile kama hao jamaa.

Alinisimulia babu mmoja wa kimaasai kwamba maasai kwa imani zao za asili kabisa wanaamini ng'ombe, mbuzi, na kondoo ni kwa ajili yao tu; haiwaingii akilini eti kuna makabila mengine yanapaswa kumiliki hiyo kitu.
Bila kusahau kuwa wanaamini "Land belong to no one" Kwahiyo Haiingi akilini kwa mtu flani kusema hii ardhi ni yangu au ya flani.
 
Dah. Hilo nalo tatizo. Sina hakika kama wadau kuanzia Serikali wanafahamu hizi imani kali. Bila kuondoa chanzo (imani zao hizi) migogoro haitaisha.
 
Lakini akina Ole wanaongoza kwa social instability kila wanakopita - Morogoro, Rufiji, Tanga, na maeneo mengine mengi. Ukisikia vurugu za wafugaji na wakulima hapo lazima mmasai yumo - msukuma na makabila mengine sio kivile kama hao jamaa.

Alinisimulia babu mmoja wa kimaasai kwamba maasai kwa imani zao za asili kabisa wanaamini ng'ombe, mbuzi, na kondoo ni kwa ajili yao tu; haiwaingii akilini eti kuna makabila mengine yanapaswa kumiliki hiyo kitu.

Wao kumiliki ng'ombe wote wa dunia inahusiana vipi na mgogoro wa wakulima? ni kweli ng'ombe wote wa dunia hii wa masai, pia ardhi yote ni malisho ya ng'ombe, wakulima ndio waliokuja kulima maeneo ya malisho ya ng'ombe.
 
Hapo kwenye red; kinachozungumziwa hapa sio "mgogoro wa wakulima" kama unavyotaka kupindisha bali migogoro ya wafugaji (maasai) kwa upande mmoja na wakulima kwa upande mwingine.

Hapo kwenye blue; historia (na vitabu vya dini) inasemaje? Kipi kilianza? Kilimo au ufugaji? [BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.]
 
Kila kinachoongoza duniani kipo kwa wazungu tu, waafrika tunaongoza kwa lipi?
 
Back
Top Bottom