Mfano Marekani kati ya vijana 10,7 wana matatizo ya kimalezi yanayotokana na akina mama kutokuwalea,wanajiingiza kwenye majanga kama madawa ya kulevya n.k,Japani nako ni hivyohivyo!Kwahiyo na uongozi mbovu wa "baba riz" umetokana na malezi ya house girl wao au wife wake????
Kwahiyo na uongozi mbovu wa "baba riz" umetokana na malezi ya house girl wao au wife wake????
If thats so, then let us blame the whole society! Coz kwa case kama ya Hitler hiyo ilikuwa facilitated na hali ya Ulaya ilivyokuwa kipindi hicho. Alichokiamini yeye ni ukombozi through militarism kama mataifa mengi yalivyokuwa yakifanya. Kama mama yake alimjengea ujasiri basi jamii yake ilimdictate zaidi kifikra kutokana na competition iliyokuwepo. Kwa hao wanaopiga wake zao bado nakataa sio kwa sababu ya mama zao. Unataka kuniambia wababa wa kiafrika kushinda ama kukesha vilabuni wamefundishwa na mama zao? Issue ni kwamba wababa mlijisahau sana na kumtwisha mzigo mkubwa sana mama mkasahau kuwa kila mtoto anazaliwa na akili yake na anahitaji full control inayotoka kwa baba na kwa mama pia. Sasa product yake ndo hiyo tunaiona coz kuna watoto ambao wanawadharau mama zao kiasi kwamba hata akimkanya hasikii, hivyo we baba ungekuwepo si ungesaidia? Unamlaumu nini mama kwa huyo mtoto?Kipipi,tatizo usichokijua ni kuwa hao wanaowapiga wake zao nao ni zao hilo hilo la matatizo la malezi ambayo mama ndio msingi wake!Huwezi kutofautisha kati ya tabia ya mtu na malezi yake,mfano Adolf Hitler,malezi ndo yalimfanya awe kama alivyo,hiyo ndo shida tuliyonayo!
<br />Fungua akili yako utanielewa tu!Wakati mwingine matatizo tunayasababisha sisi!
<br />King'asti,belive me,mwanamke anaefanya kazi anaondoka nyumbani asubuhi ni tatizo,mtoto anazaliwa baada ya miezi 3 mama anaanza kumwacha!Hii nini?Malezi ya mtoto yanahitaji pande mbili sawa,wewe unalitafsi vipi hili?Mgawanyo uko wazi,mama majukumu yake ni ya myumbani,kumjenga mtoto kisaikolojia,namna ya kujitambua,nidhamu n.k,baba yeye ni kuleta hela ya chakula na kulipa ada za shule,hebu niambie yapi ni ya muhimu kwa mtoto?Wanaume marioo bado ni zao lilelile la matatizo ya kimalezi ya mama!Unyanyasaji wa mwanamke ni matatizo ya kijamii ambayo haya yana solution yake!Tatizo ni uongo mliolishwa!