JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 662
Current electricity haikuwa na shida magnetism ndo ilikuwa kichefuchefuMimi Nilikuwa naigwaya topic hiyo na, Current electricity kwenye kipengele cha Kirchoff 's law.
Current electricity haikuwa na shida magnetism ndo ilikuwa kichefuchefuMimi Nilikuwa naigwaya topic hiyo na, Current electricity kwenye kipengele cha Kirchoff 's law.
Moudy phyz kafariki?Hujakutana na marehemu moudy physics.. R.IP legend, physics ilikuwa tamu na laini saana kwangu kupitia huyu mwamba.
Lini kafariki?R.I.P moody
Mwaka wa pili huu km sikosei, habari yake ililetwa humu.Moudy phyz kafariki?
Lini kafariki?