Huyu ndiye mwalimu bora wa Physics duniani

Huyu ndiye mwalimu bora wa Physics duniani

Physics ya vipande vipande. Physics ina topics kibao.


Afundishe including calculation halafu ziwaingie vizuri then wawe wanapata 80+ hao wanafunzi kwenye Physics
 
Mbona Mgote hamumtaji wadau
 
Naipenda physics lkn kuna topic moja naichukia balaa Magnetism kwenye Advanced physics hiyo ni cheche
 
For The Love Of Physics....! Lecture Yake ya Kuaga Baada ya Kustaafu Rasmi...! Alikuwa mwalimu Bora Sana..! Pia ana Kitabu ameandika Kwa Tittle Hiyo Hiyo
 
Hujakutana na marehemu moudy physics.. R.IP legend, physics ilikuwa tamu na laini saana kwangu kupitia huyu mwamba.
Moja ya kichwa bora kuwahi kutokea nchi hii. Bahati mbaya alizaliwa bongo, hivyo hakikutumika ipasavyo.
 
Mudy wa mchikichini plus Hyden.
Nzoih , Busanji , Rwezaula, Angelo, Mkandawile plus Mbulanya.
Tuliokuwa tunaishi kkoo hilo lilikuwa chimbo letu, tukiingia shule topic zote tulishamaliza, nimemkumbaka sana Hyden
 
Back
Top Bottom