kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,341
- 6,495
Ndio mbadala wa IDM. Ipo rahisi sana kuitumia.Mm natumiaga extreme downloader
Ndio mbadala wa IDM. Ipo rahisi sana kuitumia.Mm natumiaga extreme downloader
Hata apk kwa ajili ya simu za android ipo. IDMipo Kwenye sim au
Kuna dam clone ya idm ipo vizuri kama idm utofauti ni kwenye kucapture video tu. Inafanana kila kitu kama idm
Pia kuna jdownloader2 ambayo ni maarufu kwa pro na watu wenye uelewa zaidi wa hizi mambo, kuna mambo hii inafanya kwa ufanisi zaidi.
Bila kusahau firefox, unaweza ukaiset browser ya mozilla kwa addons za kudownload na kucapture video ikafanya kazi kwa ufanisi kushinda hata idm,
Hio link ni direct link? Unaweza paste hapa link husika?Mkuu msaada kidogo mi kila nikidownload file lolote Kwa idm linakuja in form of HTML sijui tatizo nini
Ni link ya torent mkuu nilikuwa natumia PC,....yan nikiright click kwenye link pale option ya Ku download kwa idm inakuja na nikiiclick inadownload ila sasa ndo kwenye form hiyo...Yan naishia kudownload video za YouTube tu nje ya hapo zinakuja kwa HTMLHio link ni direct link? Unaweza paste hapa link husika?
1. Idm haidownload torentNi link ya torent mkuu nilikuwa natumia PC,....yan nikiright click kwenye link pale option ya Ku download kwa idm inakuja na nikiiclick inadownload ila sasa ndo kwenye form hiyo...Yan naishia kudownload video za YouTube tu nje ya hapo zinakuja kwa HTML
Magnetic link inakubali?1. Idm haidownload torent
2. Kama unamaanisha file la .torrent ambalo baadae unaliload kwenye software ya torrent pengine unadownload matangazo tu, kwanini usitumie magnet link?
Inaenda moja kwa moja kwenye software ya torrent kama unayo.Magnetic link inakubali?
Hii na sawa. Na VLC media player .Tangu nianze kuifaham IDM sijwah kuona program inayoifikia hata Robo.
Ile ni kitu aiseh
iDownloader ilikuwa hatari sana, sijui kama bado ipo sokoni.Tangu nianze kuifaham IDM sijwah kuona program inayoifikia hata Robo.
Ile ni kitu aiseh
Mkuu hauvunji sheria na kanuni za JF kutuma link za warez na pirated material?
Hapana mkuu...humu tech link za torrent zimejaa kila kona..mim sio wa kwanza..so relaxMkuu hauvunji sheria na kanuni za JF kutuma link za warez na pirated material?
Ban inakuvizia.
ungemshauri tu nenda katafute kwenye torrents bila kuweka link.
Hii FDM ina option ya kuchagua 360, 720p & 1080p? Maana huwa nashushaa mzigo wa GB 10 Youtube. Na sijawahi pata mbadala wa IDM maana yenyewe ukiplay video tu ina pop up, unachagua quality unayotaka. Shida IDM kwangu video hazidownload mpaka mwisho na inakubidi urudie mara 2 kudownload tena.Me natumia free download manager kwenye laptop yangu. Kwa kifupi inasuit needs zangu. Nikitaka video za youtube napakua pia ipo intergrated na chrome. Na speed ni kubwa.
Everything is okay halafu siyo ya kulipia kama IDM
Hii FDM ina option ya kuchagua 360, 720p & 1080p? Maana huwa nashushaa mzigo wa GB 10 Youtube. Na sijawahi pata mbadala wa IDM maana yenyewe ukiplay video tu ina pop up, unachagua quality unayotaka. Shida IDM kwangu video hazidownload mpaka mwisho na inakubidi urudie mara 2 kudownload tena.
Hii FDM ina option ya kuchagua 360, 720p & 1080p? Maana huwa nashushaa mzigo wa GB 10 Youtube. Na sijawahi pata mbadala wa IDM maana yenyewe ukiplay video tu ina pop up, unachagua quality unayotaka. Shida IDM kwangu video hazidownload mpaka mwisho na inakubidi urudie mara 2 kudownload tena.