Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 695
Wakati huo akichomoka wazazi nao watamchomeka jiti tigoniHivi huyu mwalimu atakuwa amejificha wapi? Atakuwa mzima kweli huyu? Maana kesi yake hii ni kubwa mno. Sema sasa kama hakukamatwa ready handed akimpata wakili imara atachomoka.
Ukweli kabisaWakati huo akichomoka wazazi nao watamchomeka jiti tigoni
mimi simuhukumu.haki inapatikana mahakamani,ajitokeze yaishe kama ni mharifu au sio mharifu.Mimi na wewe hatujui aliko. Tuache kuhukumu sana.
Men want sons over daughters because it’s easier to pass down gender based bigotry and patriarchy, than is it to raise a potential victim to their own ideas and behaviors!!mimi simuhukumu.haki inapatikana mahakamani,ajitokeze yaishe kama ni mharifu au sio mharifu.
a bitter truth women are weak.Men want sons over daughters because it’s easier to pass down gender based bigotry and patriarchy, than is it to raise a potential victim to their own ideas and behaviors!!
Wachache sana wenye akili zilizokomaa kama wewe. Hivi kuna mtu humu hajawahi kusingiziwa kitu? Cha kushukuru ni kwamba mnasingiziwa vitu vidogo,mwenzetu ukute kasingiziwa kitu kikubwa kama hicho. Sisi wafanyakazi tunaofanya kaktika taasisi hizi hasa walimu wa kiume kuundiwa mizengwe hii ni suala kugusa. Acheni vyombo vya kisheria vifanye kazi yake.Nadhani bado ni tuhuma, Jamii mmeshamhukumu.