It doesn't matter fedha zitatoka wapi! Issue hapa ni kwamba alitoa ahadi. je alipotoa hiyo ahadi hakujua mambo yote ya kujenga miundo mbinu fedha zinatoka wapi? Kama hakujua basi ni alidanganya wananchi na kama alijua bado alidanganya wananchi. Wanachotaka wananchi ni ahadi zako umezitimiza? Kama hukutumiza ahadi kuna sababu nyingi nzuri tu lakini zote hizo zinaitwa "excuse" na hii haikubaliki. Performanca is required and nothing less than that. You must stay to what you have promised. Anyway lakini "no politician has died by swallowing his own words"naomba ufafanuzi,
je alisema atajenga hiyo hospitali na uwanja wa ndege
kwa pesa zake za mfukoni au kwa pesa kutoka wapi?
Kagashi enzi za kampeni 2005 alidai tena zaidi ya mara moja hadharani kuwa atabadilisha hospitali ya mkoa kuwa ya rufaa na kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa bukoba....mambo hayo kakeleza? kama bado ni mnafiki na hapaswi kuchaguliwa tena pamoja na vijisenti vyake!
hizo ni siasa za bongo tisha toto lakini hata panya hatishikiwana jf nimesikia kupitia radio kasibante (iliyoko bukoba) ya huyu bwana "live" wakati akiwahutubia watu waliokusanyika katika kufunga wiki ya shehere za miaka 33 ya ccm. Yafuatayo ni baadhi ya matamshi yake:
1. Siko tayari kuona mtu eti anakuja kugombea jimbo hili
2. Kwa nini nisiwe mgombea pekee
3. Nimewekeza hapa si nanyi mnaona, iweje mtu aje kuleta vurugu hapa.
4. Atakufa mtu hapa!
5. Wananchi msikubali mtu kuweka jina hata kwenye kura za maoni.
6. Chama ni kimoja na mimi nipo sasa mwingine wa nini, atakufa mtu hapa!
yapo mengi namba mlio na uwezo wa ku access speach yake yote muiweke hapa tuone huyu bwana ni kizazi gani.
Mie namuona kwa mtazamo tofauti kutokana na heshima aliyonayo ila kwa matamshi haya huyu anaweza akawa nduguye hitler.
Achilia mbali usumbufu waliowapa wasafiri wengine waliokuwa wanatumia barabara iliyofungwa na maandamano ya wafuasi wake kwa zaidi ya masaa mawili wakati wanatoka kwenye mkutano.
Inashangaza jana mikutano mingi wageni rasmi walikuwa wabunge badala ya viongozi wa chama na wengi walitoa matamshi kama ya huyu bwana.
Inaashilia nini?
Hana tofauti na Mbunge Kamala wa Jimbo la Nkenge, naye nasikia hahitajiki tena.
1. Siko tayari kuona mtu eti anakuja kugombea jimbo hili
Wana JF nimesikia kupitia radio KASIBANTE (iliyoko Bukoba) ya huyu Bwana "live" wakati akiwahutubia watu waliokusanyika katika kufunga wiki ya shehere za miaka 33 ya CCM. Yafuatayo ni baadhi ya matamshi yake:
1. Siko tayari kuona mtu eti anakuja kugombea jimbo hili
2. Kwa nini nisiwe mgombea pekee
3. Nimewekeza hapa si nanyi mnaona, iweje mtu aje kuleta vurugu hapa.
4. Atakufa mtu hapa!
5. Wananchi msikubali mtu kuweka jina hata kwenye kura za maoni.
6. Chama ni kimoja na mimi nipo sasa mwingine wa nini, atakufa mtu hapa!
Yapo mengi namba mlio na uwezo wa ku access speach yake yote muiweke hapa tuone huyu bwana ni kizazi gani.
Mie namuona kwa mtazamo tofauti kutokana na heshima aliyonayo ila kwa matamshi haya huyu anaweza akawa nduguye HITLER.

Na nyinyi mlimuamini? Hakuna mtu mwenye ubavu wa kujenga hospitali ya rufaa au uwanja wa ndege unaoeleweka Tanzania. Kama mlimpa kura kutokana na ahadi hizi ambazo wazi ni za alinacha basi inabidi mjisikitikie wenyewe. Kama Bukoba mlikojaa wasomi mdanganywa kirahisi hivyo, sehemu nyingine zitakuwaje? Halafu tunashangaa kwa nini bado tuko hapa tulipo!
Amandla.....
Hii habari imekaa kushoto mno. Inaweza ikawa ni uzushi tu wa kumchafua Kagasheki. Tunaitaka hotuba yote aliyoitoa ili tuweze kuamini!
Wana JF nimesikia kupitia radio KASIBANTE (iliyoko Bukoba) ya huyu Bwana "live" wakati akiwahutubia watu waliokusanyika katika kufunga wiki ya shehere za miaka 33 ya CCM. Yafuatayo ni baadhi ya matamshi yake:
1. Siko tayari kuona mtu eti anakuja kugombea jimbo hili
2. Kwa nini nisiwe mgombea pekee
3. Nimewekeza hapa si nanyi mnaona, iweje mtu aje kuleta vurugu hapa.
4. Atakufa mtu hapa!
5. Wananchi msikubali mtu kuweka jina hata kwenye kura za maoni.
6. Chama ni kimoja na mimi nipo sasa mwingine wa nini, atakufa mtu hapa!
Yapo mengi namba mlio na uwezo wa ku access speach yake yote muiweke hapa tuone huyu bwana ni kizazi gani.
Mie namuona kwa mtazamo tofauti kutokana na heshima aliyonayo ila kwa matamshi haya huyu anaweza akawa nduguye HITLER.
Achilia mbali usumbufu waliowapa wasafiri wengine waliokuwa wanatumia barabara iliyofungwa na maandamano ya wafuasi wake kwa zaidi ya masaa mawili wakati wanatoka kwenye mkutano.
Inashangaza jana mikutano mingi wageni rasmi walikuwa wabunge badala ya viongozi wa chama na wengi walitoa matamshi kama ya huyu bwana.
Inaashilia nini?
hivi kweli na ujuwaji wao wote watu wa Kagera wanapatikana kwa uwongo wa kitoto kabisa,naomba ufafanuzi,
je alisema atajenga hiyo hospitali na uwanja wa ndege
kwa pesa zake za mfukoni au kwa pesa kutoka wapi?
hii mada nimeipendea kitu kimoja, nimeona majina ya zamani na ya MAGREAT THINKERZ maarufu ambao siku hizi ni nadra sana kuchangia, GUYZ TUWE PAMOJA
Ni vigumu kwa mswahili kuamini moja kwa moja. Hapa hakuna cha uzushi, ninaamini nilichokisia na kuna mtu katoa hadi picha za maandamano hayo akidhibitisha hilo.
Na hotuba yake bado inarudiwa kwenye kiji radio chake cha kampeni hizi mgando. Ni kichefuchefu tupu.
1. Siko tayari kuona mtu eti anakuja kugombea jimbo hili
2. Kwa nini nisiwe mgombea pekee
3. Nimewekeza hapa si nanyi mnaona, iweje mtu aje kuleta vurugu hapa.
4. Atakufa mtu hapa!
5. Wananchi msikubali mtu kuweka jina hata kwenye kura za maoni.
6. Chama ni kimoja na mimi nipo sasa mwingine wa nini, atakufa mtu hapa!
Picha za maandamano sio hoja hazithibitishi maneno yanayodaiwa kwamba Kagasheki ameyasema.
No! Huu ni uzushi Kagasheki hawezi kusema haya na kama yanatoka kwenye redio yawezekana kabisa kuna hujuma ya aina fulani!