Huyu ndiye mbunge mtarajiwa jimbo la Temeke, Mtemvu tafuta chaka mapema

Huyu jamaa siwezi kumsahau kama ni majembe huyu jamaa ni jembe. Nikikumbuka mgomo mmoja hivi wa kupinga kuchangia 40percent, serikali nzima ya daruso ilirud nyuma jamaa akaongoza mapambano mwanzo mpaka mwisho. Pamoja na vitisho na kuitwa ikulu mara kadhaa jamaa alisimama imara! Naamini majukumu na matatizo ya watanzania anayajua vema
Nami namfahamu Mtatiro tukiwa chuo, kiukweli bila unafiki wala kuvambavamba maneno, jamaa alikuwa imara sana, kweli alikuwa kwa masilahi ya wanafunzi, sijajua kama ule moyo na kujitolea na kusimama imara hata katikati ya vitisho bado anao. Lakini jamaa alikuwa vizuri sana kwa kweli.
 
kwa nini mtatiro asiende kugombea kwao kijijini mtemvu pamoja na u ccm wake ni mtoto wa mjini anajua shida zetu baba yake mtemvu ni muhanga wa taifa hili km ni mageuzi awekwe mzawa kwa tiketi ya ukawa tutampigia kura
 
Iko wazi kuwa ukimsimamisha kugombea kisiwa cha Pemba, John, James, Peter hata kama anafaa vipi hawezi kupita. Ila ukimsimamisha Hemed, Abdul, Hamis hata kama hawafai watapita.

The same applied to Temeke, Julius Mtatiro ni kiongozi mzuri sana lakini Temeke atatwanga maji kwenye kinu???
 
Sasa anatokaje sombetini mpaka Kinondoni? Mbona amepita majimbo mengi sana hapo njiani?

Maendeleo ya Sombetini yanaweza kuwa mfano bora kwa Kinondoni. Ataweza kubadili vijana badala ya kuwa mateja wawe wajasiriamali.
 
Iko wazi kuwa ukimsimamisha kugombea kisiwa cha Pemba, John, James, Peter hata kama anafaa vipi hawezi kupita. Ila ukimsimamisha Hemed, Abdul, Hamis hata kama hawafai watapita.

The same applied to Temeke, Julius Mtatiro ni kiongozi mzuri sana lakini Temeke atatwanga maji kwenye kinu???

Mbona kuna wakati Temeke kulikuwa na Mbunge anaitwa Augustino?
 
Mbona kuna wakati Temeke kulikuwa na Mbunge anaitwa Augustino?

Augustine Mrema kipindi kile alikuwa na chat ya juu sana kisiasa, angegombea popote pale angepata. Lakini kwa kiwango cha kina Mtatiro waangalie upepo wa kisiasa na mazingira yake???

Kumbuka udini upo sana Tanzania ingawa sio officially, ukitaka kuamini hilo subiri CCM wamsimamishe mgombea Urais mwislam mwaka huu, utaona kitakachotokea!
 
Ndugu Julius mtatiro anatarajiwa kugombea ubunge jimbo la Temeke Kwa tiketi ya ukawa kupitia chama cha CUF.
Wakati huo huo Mh. Ally Bananga atasimamishwa Kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Kinondoni.
Nawasilisha.
Tatizo Mtatiro alikosea kujiunga na chama alichomo sasa hivi.
 
Mgombea yoyote atakayesimama kupitia UKAWA anabeba jimbo la temeke kiulaini sana.
 
kwa nini mtatiro asiende kugombea kwao kijijini mtemvu pamoja na u ccm wake ni mtoto wa mjini anajua shida zetu baba yake mtemvu ni muhanga wa taifa hili km ni mageuzi awekwe mzawa kwa tiketi ya ukawa tutampigia kura

Kwa hiyo mtemvu ni mzaramo Wa temeke?
 
Ndugu Julius mtatiro anatarajiwa kugombea ubunge jimbo la Temeke Kwa tiketi ya ukawa kupitia chama cha CUF.
Wakati huo huo Mh. Ally Bananga atasimamishwa Kwa tiketi ya CHADEMA katika jimbo la Kinondoni.
Nawasilisha.

Kwa list hii lazima tuwatungue magamba mchana kweupe!!
 
Back
Top Bottom