Huyu ndiye mbaya wa udom !!!!!?????

Ufisadi wote huu huu unaofanyika tuwalaumu waasisi wa taifa hili mana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.kuna watu wamepewa heshima kubwa na kuitwa watakatifu lakini wao ndio waasisi wa uchafu wote hapa tanzania.kuna mwinjilisti wa tazama tanzania aliandika makala yake nikamwona mpumbavu sana!eti wakoloni wasingemwachia mtu ambaye hawamfahamu,kwa hiyo waasisi wa taifa hili wote wakoloni ndio mana wanaiaba,ufisadi na uroho wa madaraka na wote wamesoma shule za kanisa kwa hiyo kwa ujumla waasisi wa uchafu wote ni shule za kanisa.asiyejua historia atabisha.sawa na wale wanaoamini eti 3=1 halafu wanajiita wasomi
 
kwa kuwa mkuu wa KAYA karibia anaachia usukani..nnafikiri siku zake huyu jamaa zinahesabika.......
 
badala mweke mjadala wa masomo mnajadili mtu ambaye hata mkiongea vipi hampunguzii kitu,tuamke sasa tusiwe na akili yenye uelekeo mmoja kumbukeni kuna millions of possibility to make you succesful

its time to start locate our effort in self-productive things
 
udini unawasumbua nyie!!!tumezoea taasisi yeyote inayoongozwa na mtu wa dini fulani hamchoki kuipiga vita kadiri iwezekanavyo


Ushaambiwa jamaa ni mkristu, udini unatokea wapi? au muislam huwa akosei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…