Huyu ndiye mbaya wa udom !!!!!?????

Baba Tina

Senior Member
Dec 22, 2010
131
2
PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, pesa na utawala anatajwa kua mtu mwenye kiburi, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha walimu wengi chuoni hapo kukimbia na kuhamia katika vyuo vya UDSM, SUA, SUZA, DUCE, MUCE, SAUT, N.K. Idadi ya walimu waliokwisha hama chuoni haponi kubwa na imekua ikiongezeka kila kukicha. Amekua akibana pesa kupita kiasi na kusababisha assessment ya wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo kutofanyika kwa ufanisi. Hata migomo ya wanafunzi inadaiwa kwa kiasi kikubwa kusababishwa na prof MLACHA ambaye inasemekana ana madaraka makubwa kuliko hata Vice Chancellor wa chuo hicho. Wapo wanaodai kua PROF MLACHA ni swahiba wa karibu sana na Mkuu wa KAYA na kwamba wameoa nyumba moja. Wadau wa UDOM Mnasemaje juu ya hili tunaomba maoni yenu.
 
hujaongopa, huyu amefikia hatua kuwaambia walimu wenzake kuwa walioajiriwa udom ni watu watatu tu, yaani VC - Prof Kikulla, DVC academics - Prof Kinabo, na DVC PAF - yaani yeye mwenyewe prof Mlacha. ya kwamba waklimu wengine wanajishikiza tu!

huyu ni mharibifu. na hasikii la mtu yeyote just because ni mtwasi wa mkuu wa nchi! kuna wakati mmoja taifa lilitaka kujua nini shida ya UDOM? mkuuwa chuo akaitisha kikao cha chuo.. na malalamiko mengi yakaenda upande wa utawala. kutokana na hilo VC kikula akamtaka prof mlacha atolee ufafanuzi, he simply and in an arrogant way akarespond! "hiki sio kikao changu - siwezi sema lolote"...huu ndio ulikuwa mwisho wa kikao na mkuu wa chuo amekoma kabisa kunyanyua kauli juu ya huyu bwana....

ni kitu mbaya sana kwani wanaharibu reputations za watu ambao credibility zao zimevuka mipaka na kuheshimika ndani na nje ya nchi mfano professor Ludovick Kinabo. Prof Kinabo ambaye ni DVC Academics has got superb history ya etendaji na uaminifu mkuu kokote alikopita.ninaamini mfamakolojia huyu ambaye yuko katika timu za kidunia (UN) zinazodeal na drugs na poisons, ambaye ameaminiwa na fund mbali mbali za kimataifa e.g. Norwegians zunasosupport kilimo hapa nchini na hata watendaji - researchers ambao huapply funds kutoka kwenye initiatives zake ana wakati mgumu kufanya academic iexcell pale udom tofauti na matarajio ya wengi waliosikia amepata such an appointment!! kwa kweli ninamuonea sana huruma prof Kinabo, mtu ambaye haamini kwenye kufanya makosa tena ya kitoto namna hii. pia namuonea huruma sana prof kikula kwani hana meno!

however, kuna rafiki yangu huwa anasema - Tanzania iko kwenye kundi la nchi zisizotaka kuendelea. labda tujiulize, kwa nini wazuri eg Tido mhando wananyanyaswa, wabovu wanang'ang;'aniwa? kupenda wabovu ni structural issue hapa tanzania?
 
Insiders mtuthibitishie kama jamaa na mkuu wa kaya kweli wameoa nyumba moja vinginevyo tutaitwa wadini na watu wenye kinyongo na waislam. Zamani nilikuwa nasikia wahaya ukiwapa ofisi wanatafutana wao tu sasa hii nayo imekaaje? Kuna mtu alisema hata IGP, Mstafa Mkulo na Hawa Ghasia wapo kiundugu. Sijui kama ni kweli lakini! Tatizo kubwa la kumpa ndugu cheo ni kwamba atadharau hata mabosi wake kama huyu jamaa anavyomdharau VC. Pia hapa tunaona conflict of interest kwenye ile degree ya heshima alipewa mkulu!
 
Chuo kikuu ni mali ya wananchi, na ni simbol ya upeo wa kiakili ya nchi, sio mali ya chama fulani wala mkuu wa nchi, hata kama wazo la kujenga na hata kusimamia utekelezaji kafanya yeye. Kama kuna ushahidi kuwa uswahiba na undugu unakiharibu chuo hiyo ni kashfa. Wahusika lazima wawajibike. Kama mkuu wa nchi asipomwajibisha kwa kuwa naye ana maslahi humo basi wananchi semeni msikike, mnalo bunge, wabunge wetu msikae kimya. Hata kule tu mkuu wa chuo kuwa na udugu na mkuu wa nchi ni kashfa. Mtu huwezi kumteua au ku-influence ateuliwe mtu unayehusiana naye kwani kwa kufanya hivyo utakuwa daima una mgongano wa maslahi katika majukumu ya chuo hicho. Huu ni uozo, na matokeo yake ni madhara makubwa kwa elimu ya taifa hili.
 
huyu mtu niliambiwa habari zake wakati natoka moshi juzi kuja hapa dsm, anatoka sehemu inaitwa makanya, kama km 35 toka moshi, kwa muda mfupi amejijenga kiajabu, amejenga hekalu kama yale ya mikocheni hapo makanya, pia kajenga sekondari kubwa ingawa nayo inakaribia kufa kutokana na uongozi wake mbove, inaitwa ali kachenje secondary ina majengo mengi mazuri ila uongozi mbovu. udom wakiajiri vijana wazuri kama ma-tuturial assistants yeye ana wa-poach na kuwapeleka kwenye hiyo shule yake uchwara.anawapotezea muda na kukihujumu chuo. inaonekana naye anajiandaa kwenda kwenye ubunge
 
Insiders mtuthibitishie kama jamaa na mkuu wa kaya kweli wameoa nyumba moja vinginevyo tutaitwa wadini na watu wenye kinyongo na waislam. Zamani nilikuwa nasikia wahaya ukiwapa ofisi wanatafutana wao tu sasa hii nayo imekaaje? Kuna mtu alisema hata IGP, Mstafa Mkulo na Hawa Ghasia wapo kiundugu. Sijui kama ni kweli lakini! Tatizo kubwa la kumpa ndugu cheo ni kwamba atadharau hata mabosi wake kama huyu jamaa anavyomdharau VC. Pia hapa tunaona conflict of interest kwenye ile degree ya heshima alipewa mkulu!

Udini unatokea wapi hapo sasa??? Mlacha ana mwanae huku na yeye ni mkristo nadhani na mzee wake pia ndivyo maana majina yao kama wislamu lakini ni kurithi tuu hayo sasa sijui ni udini gani hapo... Jamani wanaJF tusiishi kwa hisia maana waislamu tutaonekana kama tuna matatizo wakati wengine mnaaminika...
 
Tatizo hapa mwislam akikosea mtu asiseme. Sijui kama Edward Lowasa angekuwa mwislam ingekuwaje maana anasemwa vibaya hapa JF lakini sijaona mtu akilink hilo na dini yake. Ole wako umseme mwenye jina la kiaarabu hata kama siyo mwislam utatukanwa na kuambiwa umezoea kupendelewa! Ndiyo hivyo tu mkuu wangu
 
Mtu akishakuwa na support ya mkubwa anakuwa kama demu ambae amemegwa na bosi,yaani anabehave kama bosi wakati sio bosi .
Poleni jamani MLIOKO udom ndo maisha na vituko vyake
 
huyo jamaa hatufai watanzania,,,,,,,,HIV HEBU FIKIRIA ,,,,,,,,WANACHUO WANADAI WAPEWE BARUA NA HELA ZA PROJECT TOKA MWAKA WA PILI HAWAJAPEWA NA KUAMBIWA HAKUNA KUFANYA PROJECT,/RESEARCH/,,,,,,,,,,,LEO WAKO MWAKA WA TATU WATAFANYA KAZI GANI NA NI YA NANI corse yenyewe ni mpya na ya kwanza kutolewa hapa bongo(project planning.....)wanachodai ni haki yao,,,,,,,,,,,,,,,wasikilizwe jamaaa afukuzwe,,,,,,
 
jamaa ana choyo sana. Ananyanyasa watu, ni wazi ushirikina ndo unamweka hapo. Anawaombea extensio ya mkataba watu anaowapenda tuu, wale wanaojua siri zake akiwa URUSI anawakataa...jamaa anapenda watu wawe maskini wambyenyekee..
 
udini unawasumbua nyie!!!tumezoea taasisi yeyote inayoongozwa na mtu wa dini fulani hamchoki kuipiga vita kadiri iwezekanavyo
 
PROF. SHABAN MLACHA wa idara ya kiswahili anaendelea kulalamikiwa kuwa ndiye chanzo kikuu cha migogoro katika chuo kikuu cha Dodoma. Prof huyo ambaye pia ndio naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, pesa na utawala anatajwa kua mtu mwenye kiburi, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha walimu wengi chuoni hapo kukimbia na kuhamia katika vyuo vya UDSM, SUA, SUZA, DUCE, MUCE, SAUT, N.K. Idadi ya walimu waliokwisha hama chuoni haponi kubwa na imekua ikiongezeka kila kukicha. Amekua akibana pesa kupita kiasi na kusababisha assessment ya wanafunzi wanaofanya mafunzo kwa vitendo kutofanyika kwa ufanisi. Hata migomo ya wanafunzi inadaiwa kwa kiasi kikubwa kusababishwa na prof MLACHA ambaye inasemekana ana madaraka makubwa kuliko hata Vice Chancellor wa chuo hicho. Wapo wanaodai kua PROF MLACHA ni swahiba wa karibu sana na Mkuu wa KAYA na kwamba wameoa nyumba moja. Wadau wa UDOM Mnasemaje juu ya hili tunaomba maoni yenu.

Acha Uzu shi i
 
Insiders mtuthibitishie kama jamaa na mkuu wa kaya kweli wameoa nyumba moja vinginevyo tutaitwa wadini na watu wenye kinyongo na waislam. Zamani nilikuwa nasikia wahaya ukiwapa ofisi wanatafutana wao tu sasa hii nayo imekaaje? Kuna mtu alisema hata IGP, Mstafa Mkulo na Hawa Ghasia wapo kiundugu. Sijui kama ni kweli lakini! Tatizo kubwa la kumpa ndugu cheo ni kwamba atadharau hata mabosi wake kama huyu jamaa anavyomdharau VC. Pia hapa tunaona conflict of interest kwenye ile degree ya heshima alipewa mkulu!

Mwema ni Mchaga,Membe ni Mwera na Ghasia ni Mmakua undugu upo wapi?LABDA kwa usemi huu"BINADAMU WOTE NI NDUGU ZANGU NA AFRIKA NI MOJA"
 
Back
Top Bottom