Ndugu ungekuwa unamjua hii mutu usingeuliza hilo swali...ana style nyingi sana!! sasa uliza hapo kwenye maji anakaa hivyo muda gani...pita asubuhi,pita mchana,pita jioni...yupo hivyohivyo..kudadadadadeki!! tena hapo amejipooza sana!! huwa anashindaga juani masaa 12, akina makamba wote wanamjua huyu bwana.
si tu ni omba omba, bali hata akili yake ameiweka kwenye cage ya utumwa kwamba kwa kufanya hivyo ataonewa huruma matokeo yake kila mtu anamshangaa. Huyo mama anayemshangaa ni rika lake kabisa
si tu ni omba omba, bali hata akili yake ameiweka kwenye cage ya utumwa kwamba kwa kufanya hivyo ataonewa huruma matokeo yake kila mtu anamshangaa. Huyo mama anayemshangaa ni rika lake kabisa
nakubaliana na maelezo yako.. yani wanalemaa kweli. kuna mmoja alikuwa anahojia na mtangazaji mmoja wa TBC1 huko dodoma (kipindi sikikumbuki ila walikuwa wanauzungumzia kuhusu watu wa kabila flani kwa nini wengi wao ni ombaomba) basi yule mzee alikuwa anaongea huku mkono wake kaunyoosha kwa staili ya kuomba!! tulicheka sana yaelekea hata nyumbani akikaa mkono unakuwa unaomba!!