Huyu ndiye Maalim Seif ninayemjua

Ya wapemba waachie wapemba wenyewe...

Kama huwezi kujibu hoja unatakiwa ukae kimya au unathibitisha ule msemo unaosema kuna aina fulani ya watu hata ukiwaweka kwenye chupa hawawezi kujificha na badala yake hutokeza japo kidole ili na wao watambulikane kama wapo! Sidhani kama wewe ni mmoja wao lakini hata hivyo sifungiki kuweza kukushuku!
 
Kila siku tunawaona CHADEMA wanakwenda kuzoga makochi ya Magogoni tena hadi usiku lakini kwao ipo sawa na wanasifiwa ingawaje mwanzo walisema hawamtambui Raisi Kikwete lakini kwa Wazanzibari kuungana kwa ajili ya maslahi ya nchi yao imekua kosa? Je nyinyi mulitaka tuendelee kuuwana hata kama upo uwezekano wa kupatana! Kumbukeni asilimia kubwa sana ya Watu wa Unguja na Pemba ni ndugu wa damu; zaidi ya 85%, lakini kwa kipindi cha nusu karne walikua zanachonganishwa kwa maslahi ya watu binafsi. Na sasa wameamua kupatana wanataka kujenga nchi yao. Kwa sasa hakuna UCCM wala UCUF kuna UZANZIBARI kwanza. Nyinyi endeleeni kulumbana huku Wazungu wakinufaika kutokana na malumbano yenu.

Mpemba Mbishi,

..kwanza sidhani kama it is fair kudai au hata kuhisi kwamba Watanganyika ktk ujumla wetu tunapenda Waznz wauane.

..vilevile lazima uelewe kwamba huku Tanganyika tuko 40 mil wakati ZNZ mko milioni 1 na ushee. Sasa sisi huku tuna matatizo yetu yanayotusumbua ambayo ndiyo priority kuliko mgogoro wa kisiasa wa Waznz.
 
Ana chuki mbaya na Watanzania Bara. Hahahha anauma na kupuliza! Udini, ukabila, utaifa (oopss sorry kumbe Zanzibar sio taifa ni kisiwa hahahhaha atanunaje???!! kama si kukubali yaishe well ni taifa la Tanzania- Tanzania Bara na Visiwani)

Hata mimim nina chuki kubwa na nadharia yako ya kijinga , kipuuzi na uchoyo basi! Sina chuki na wewe kwa kuwa ni Mbara!

Pengine hizi nadharia zenu ndio huo mnaouita "Chuki kwa Mbara"
 
Mpemba Mbishi,

..ni kwasababu Maalim ameelekeza siasa zake Pemba tu na si eneo lolote lingine la jamhuri yetu.

..Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba angeleekeza siasa zake nyumbani kwao Tabora na kwa Wanyamwezi wenzake, tungemuita mkabila.

..Wapemba wamefika na wanaishi ktk maeneo mbalimbali ya Tanganyika bila bugudha yoyote. Napenda kukuhakikishia kwamba Watanganyika hatuna matatizo yoyote yale na wananchi toka Pemba.

Kwani si tunaona Wabunge wakirudi kwao kuomba ubunge? Si tulimsikia Kilango akibwata kukosa umeme jimboni mwake? Mbona Lema kavalia njuga Arusha??//

Jee baada ya mifano yote unahitaji kuengeza digirii zaidi ya hiyo uliyonayo kupata jibu la hoja yako?
 
Mpemba Mbishi, huyo Maalim Seif unayemwelezea yawezekana kabisa alikuwapo wakati huo ila kwa bahati mbaya huyu wa sasa hivi ni Maalim Seif mpya kabisaaaaaa... - labda kazaliwa upya! Kama kuna mtu anabisha, amuulize Prof. Nguyuru Ibrahim Lipumba!

Ningekuona mtu wa Maaana sana kama ungejibu hoja za hiyo makala juu.!!
Kama ni muendelezo wa chuki ama una ruhusa endelea tu!
 
Absalom Kibanda, kama kawaida yako unajua sana kutumia pen kuneemesha tumbo lako. Ajenda uliyonayo tulishaijua mapema sana. Endelea tu kutulisha pumba, kwa kuwa una nafasi ya kutumia kalamu yako kwenye gazeti, sisi nafasi yetu iko hapa JF majibu utapata hapahapa

Sio kutoka kwako lakini kwani huna chochote na ungekuwanacho basi ungejibu angalau moja kati ya msururu wa hoja za Kibanda.
 
Kila siku tunawaona CHADEMA wanakwenda kuzoga makochi ya Magogoni tena hadi usiku lakini kwao ipo sawa na wanasifiwa ingawaje mwanzo walisema hawamtambui Raisi Kikwete lakini kwa Wazanzibari kuungana kwa ajili ya maslahi ya nchi yao imekua kosa? Je nyinyi mulitaka tuendelee kuuwana hata kama upo uwezekano wa kupatana! Kumbukeni asilimia kubwa sana ya Watu wa Unguja na Pemba ni ndugu wa damu; zaidi ya 85%, lakini kwa kipindi cha nusu karne walikua zanachonganishwa kwa maslahi ya watu binafsi. Na sasa wameamua kupatana wanataka kujenga nchi yao. Kwa sasa hakuna UCCM wala UCUF kuna UZANZIBARI kwanza. Nyinyi endeleeni kulumbana huku Wazungu wakinufaika kutokana na malumbano yenu.

Usiwashangae wana lao hao. Kwani wale maaskari waliowalawiti na kuwabaka watu mbali ya kuuwa wakitokea wapi? Wazanzibari wameliona hilo na ndio maana wenzetu wale walio na harufu ya damu wanakasirika!
 
Mpemba Mbishi,

..1995 kulikuwa na Wachaga wakabila waliomuunga mkono Augustino Mrema. Pia ulikuwepo ukabila wa Wamachinga na watu wa kusini waliokuwa wakimuunga mkono Mkapa. Halafu Prof.Lipumba naye alizuliwa majungu kwamba si Muislamu safi kwasababu alikuwa ana kimada Mkristo.

..sidhani kama ni busara kuukwepa ukweli kwamba Maalim Seif amejikita ktk siasa za Pemba huku akipuuza maeneo mengine ya Tanzania. Maalim hana tofauti na Jonas Savimbi aliyejikita kwenye siasa za Wavimbundu kule Angola na kusababisha madhara makubwa.

..binafsi napongeza hatua iliyofikiwa ya kupatikana amani baada ya uchaguzi Zanzibar. Nashukuru umekiri kwamba matatizo ya siasa za kibaguzi na kikabila Zanzibar yamekuwepo muda mrefu. Kukiri kuwepo kwa tatizo ni mwanzo wa kuelekea kutatua tatizo hilo.

Sijuwi haya yameisha kiasi gani lakini si vibaya kwa Seif kujizatiti na siasa za Zanziba, na hilo hasa ndio lengo lake na ndio maana aligombea Urais wa Zanzibar

Iwapo ni kosa kwa Mzanzibari kutaka kuona maslaha ya Zanzibar yanapatikana basi twmbieni kwani dhambi ya mtu kutetea kwao ni kwa Zanzibar tu, au sivyo??
 
Mpemba Mbishi,

..kwanza sidhani kama it is fair kudai au hata kuhisi kwamba Watanganyika ktk ujumla wetu tunapenda Waznz wauane.

..vilevile lazima uelewe kwamba huku Tanganyika tuko 40 mil wakati ZNZ mko milioni 1 na ushee. Sasa sisi huku tuna matatizo yetu yanayotusumbua ambayo ndiyo priority kuliko mgogoro wa kisiasa wa Waznz.

Wewe unaona hivyo sasa? Nafikiri tusingefika hapa kama kweli mnayatia akilini hayo uliyoyasema!
 
Back
Top Bottom