Huyu ndiye kipenzi cha mama

Huyu ndiye kipenzi cha mama

View attachment 3386595Familia nyingi sana hususani za Kiafrika,kuna mtoto mmoja wa kike au wa kiume,ila haswa wa kiume,anakuwaga tofauti sana na wenzake,kisirani cha familia.Hapatani na wote mdokozi,mlevi,anauza vitu vya home,bangi mtu,kila mkimbeba habebeki.Black sheep of the family...!

👉Ila cha kushangaza sasa,ndio kipenzi cha mama mwenye family🙌🙌 yaani mama yuko tayari agombane na nyie wote sio huyu Nyau🙌🙌....! Kama mnaye mtu wa aina hii kwa familia zenu inua mikono juu🙌🙌🙌🙌...!

#Tutaelewanatu
Mara nyingi hawa wanakuwa watoto ambao mama alicheza rafu na kuzaa na kibaka wa kitaa au muuza genge, bucha, fundi viatu, na bodaboda wake. Unakuta mtoto hafanani na yeyote ndani ya nyumba, kila mtu anamchukia kwa kuwa na tabia za ajabu.
 
Mkuu huyu fala Lucha anapenda sana hizo topic

Yeye chochote ukileta lazima alete mambo ya kishoxxg shxxxga

Mimi niko radhi nipigwa ban ila watu wajue huyu fal ni sh+++ga na anajiuza ambaiansi
Bibie Eli Cohen kigori mwenye umbo kama la mdoli
 
Inakuwa hivyo kwasababu mtu pekee anayeweza kumpenda na kuwa mtetezi wake ni mama pekee. Mtoto anauma sana. Kwenu nyie ni mdokozi na kisirani ila kwake ni "mwanae".
 
Wazazi hasa mama hufanya hivyo kwa sababu zifuatazo:-
1. Mtoto asiyejielewa hana usaidizi na utetezi zaidi ya mama yake
2. Mama huumia sana anapoona uzao wake ukiwa katika hali dhaifu hivyo hujaribu kumpa moyo kwa upendo.

3. Mzazi huhangaika na wasiojiweza na siyo wanaojiweza.

NB: Uchungu wa mwana aujuaye mzazi ( mama)
✊✊.....Nadhani Tuishie Hapa,,Kiuhalisia Na Asili Wanawake Ni Wafariji....
 
Back
Top Bottom