Huyu ndiye kijana anayekula utamu wa Wolper

Uyo dogo ni mdogo sana anaitwa barnaba anaishi tabata kimanga kwao kuna kanisa baba yake ni mchungaji ana tatuu kibao ni modo anakosa madili mengi tuu kutokana na izo tatuu anakosa madili ya kutangaza matangazo kama ya benki na makampuni mKubwa kibao kutokana na izo tatuu zamani alikuwa bodaboda kimanga pale.

Ana dada yake anaitwa magret kasoma cbe procurement kamaliza degree yake ya kwanza pale cbe uyo dada yake.
inshot uyo dogo sametimes anaishi kwa kuwagonga tuu wanawake wenye pesa town apa.

Ana push alteza now ndo gari yake alishawai pata ajari ya gari alipewaga na demu wake mwanzoni aina ya raum walikufa wenzake wawili yy alipona sababu alivaa mkanda wenzake awaku vaa hu dogo namjua sana tokea mtoto dogo karibikiwa balaa.

Anaishi kimanga nyuma ya ant stress,nyuma ya secondar ya wazazi nw tabata ananijua mm fikra.

Asoma shule ya msingi tumaini secondari kasoma magoza kaishia form4 ni bwana mdogo sana mtoto wa 95 uyo...

uyo kwao kashindikana baba yake kashamfanyia sana maombi ila wapi karibikiwa uyo mtoto....
Uko sawa mkuu akuna ulichobakiza naskia adi machoko anawala

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
huyo dogo anaitwa Barnaba anaishi tabata kimanga ni mdogo sana amekua namuona anaanza gym pale kimanga kwa doctor July tumemfundisha kajipiga buster baada ya maisha kuwa hayana mwelekeo kwake na sasa kajisalimisha kwa bibi bora apate pesa ya vocha
 
Kitendo cha hili jishuga mommy kugawa kwa watu wenye muonekana wa kiwendawazimu kinaonyesha nae ni chizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom