na kuongea sio kutawala na ndio maana leo hatuwezi kumweka mrisho mpoto kuwa rais wetu
Subiri muda si mrefu watamaliza kikao morogoro sasa uone watakavyoingia JF kwa spidi ya kufa mtu.
Kuna haja sasa kama sio ulazima wa JF kufanya sensa ya kufahamu umri, weredi na fikra za MEMBERS wake, huwezi mtu mzima na akili timamu katika ulimwengu wa leo kustahajabishwa na kumsifia mtu kwamba anajua kuongea, heti ana madini?
Hii nchi tumeshasikia kila tunachotaka kusikia, kilichobaki ni kuona na kushika ambayo hiyo kazi tumewaachia na tutaendelea kuwaachia CCM waifanikishe kama Ilani ya chama inavyotafsiri, wewe kama unatamani kuendelea kusikiliza hao waropokaji kawafate bilicanas ukawasikilizie live huko sio kwenye Youtube videos.
Mkuu utaumia saana utakufa nacho kijiba cha roho hao ndio watawala wa baadae CCM inakufa kama huna habari!!!Kuna haja sasa kama sio ulazima wa JF kufanya sensa ya kufahamu umri, weredi na fikra za MEMBERS wake, huwezi mtu mzima na akili timamu katika ulimwengu wa leo kustahajabishwa na kumsifia mtu kwamba anajua kuongea, heti ana madini?
Hii nchi tumeshasikia kila tunachotaka kusikia, kilichobaki ni kuona na kushika ambayo hiyo kazi tumewaachia na tutaendelea kuwaachia CCM waifanikishe kama Ilani ya chama inavyotafsiri, wewe kama unatamani kuendelea kusikiliza hao waropokaji kawafate bilicanas ukawasikilizie live huko sio kwenye Youtube videos.
Aliwahadaa watanzania kuhusu shangingi alikataa kukuu akapew ghali kuliko la PM akalichukua kimyakimya. Mwigulu akamlipua bungen hakuweza kutia neno. unafiki haufai kwa viongozie
MBOWE is Among of ma Heros,,aisee ukicheki 2000,2005 Usingedhani chama Kingefika Hapa..HEKO!
Wakuu.
Mtakumbuka kuwa nilisha wahi kuandika hapa jukwaani kuwa kwa sasa hivi hapa Tanzania hakuna mwenyekiti wa chama chochote cha siasa mwenye influence na anae tema madini mdomoni akiongea kumzidi kamanda Freeman Mbowe.
Ukiweka ushabiki pembeni na kusimamia ukweli, Mbowe amekuwa mwenyekiti mwenye mvuto wa kipekee kwenye medani za siasa za Tanzania kwa sasa kuliko mwenyekiti wa chama chochote cha siasa.
Japo najua watanzania wana kiu na njaa ya mabadiliko ambayo naamini wamekata tamaa kuyapata ndani ya ccm naamini uwezo na influence ya Mbowe pamoja na viongozi wengine wa chadema imechangia sana kuiweka chadema kwenye ramani iliyopo sasa.
Asiye amini kuwa Mbowe anatema madini mdomoni atafute hotuba zake au asikilize kwa makini hii hapa chini
Kaka Mwita Maranya labda anapandisha lugha ya mwarabuMkuu Safari_ni_Safari una uhakika kama mdau unayejaribu kumuelwesha hii lugha ya malkia inapanda?
Seriously I don't get your point. One minute you say it's okay to be involved in music the next minute you're attacking Mbowe for doing exactly that.kwa anaejiita safari ni safari:unamwita mwenzio mpuuzi wakati ww ndo mpumbavu no1 ndani ya JF.Unaleta mfano wa mbowe na Rais wa madagascar bila ya kuangalia key points katika utetezi wako...look here u cn see ur weekness.1.RAIS WA MADAGASCAR was a DJ in over the course of his teens and his early twenties,.umetajwa umri wa utoto na mwanzoni mwa ujana(school age)mambo mengi vjana hufanya km starehe,michezo,makuzi etc...Twambie kuhusu mbowe alikua DJ kuanzia umri gani na ameacha akiwa na umri gani.
kiukweli ni kamanda wa ukweli, na anwanyima sana usingizi wanamagamba.
keep going kamanda