Huyu ndiye FIRAUNI/FARAO na maajabu ya maiti yake kutokuoza

Hiyo Ni mummification ...Tunashindwa kuelewa Swala dogo Tuuu ...ati tunajijuta tukisema Ni laana ooh sijui ni Nini .
Hadi machemist Bora kabisa humu if wanashindwa kuielewa Mummification .
 
Hyo mummification inachagua maiti na maiti?.
Mbona maiti zingine haziwi Kama hyo maiti ya firauni?
Hiyo Ni mummification ...Tunashindwa kuelewa Swala dogo Tuuu ...ati tunajijuta tukisema Ni laana ooh sijui ni Nini .
Hadi machemist Bora kabisa humu if wanashindwa kuielewa Mummification .
 
Duh! Swali la kitoto haswaa 😂
 
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza huyu mkuu nmewahi kusikia eti maiti yake ipo mpaka leo kuna ukweli wowote?

Na kama ni kweli kwa nini haozi kama wafalme wengine ?

Kuna nini kimefanya amedumu mpaka sasa maana vitabu mbali mbali vinasema amezaliwa b.c

Au huo mwili ni wake kweli ?
 
Mwili wa farao upo mbaka leo ingawa hakuna uthibitisho wa moja moja kusema kuwa ni mwili wake halisi sababu farao ni cheo na ni series ya mfumo wa uongozi uliotokea misri ya kale kwahiyo hakuna uthibitisho moja kwa moja kuwa ndiye yule anaezungumziwa,

Kwanini haozi kama wafalme wengine?
Nahisi umewai kusikia kitu chochote kuhusu mummification hii ni teknolojia ya kale ya uhifadhi wa mwili wa binadamu aliyeafariki na ilikua maarufu sana katika misri ya kale na teknolojia hiyo ilikua inatumika katika sehemu za kifalme kutunza miili ya mafarao waliofariki kwa muda huo,,,

Katika teknolojia hiyo mwili wa farao na viongozi wengine uliweza kuondolewa sensitive organs mbalimbali ndani yake kama vile ubongo, utumbo, ini, na vinginevyo vinavyoharibika haraka na pia waliweza kutumia chumvi pamoja na madawa mengineyo katika kuhifadhi miili hiyo na dawa hizo pamoja na chumvi zilitiwa ndani ya miili hiyo kwa kufanya operation maalumu sababu misri inasemekana ndio miongoni mwa nchi za kale zilizoanza kufanya operation.

Ni kweli farao au ramesses II alikua miaka ya B.C ,, na kilichofany mwili wake umedumu hadi leo ni aina ya utunzaji kuanzia katika makaburi ya hadhi yake pia kingine kilichofany amedumu ni ile teknolojia ya mummification,,,
Kwenye utunzaji katika makaburi watu wa kale waliweza kuhamisha mwili kutoka sehemu moja hadi nyingine pindi itokeapo tatizo flani "refer post #1 katika Aya ya 6 &7".
 
Asante mkuu nmekuelewa
 
Wewe mwiko!!! Hawatakuwa radhi mayahudi na manasara mpaka mfuate mila zao. Teh teh teh. Yaani raha sana.
 
Halafu tunasema ma pharaoh walikuwa blacks, how?
 
Kwanini Timu ya Misri wanajiita Mafirauni?
Mbona simple sana. Pharaos ni jina la Mtawala wa kimisir hapo kale. So kila mtawala wa kimisri alikuwa akitumia jina hilo. Hata huyo firauni anayetajwa ktk Quran ana jina lake hicho kilikuwa ni cheo tu. Mfano TZ cheo ni Rais lkn marais wana majina yao. So wamisri kutumia cheo hicho kwa jina la The Pharaos ni kumaanisha wao ni watawala. Sawa na sisi tujiite watemi ama macheif.
 
Alikuwa akijiita Mungu. Logic ipo simple tu.Allah aliuokoa mwili wake ili watu waje kuuona na kusadikisha kuwa hakuwa Mungu kwani amekufa. Kumbuka kuna watu walikuwa wakimuabudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…