Huyu ndiye FIRAUNI/FARAO na maajabu ya maiti yake kutokuoza

Mm nnachojua kuhusu FIRAUNI ni kwamba pamoja na makeke yake yote... Jamaa alikuwa mfupi sana.... Ndio maana mpk leo watu wafupi wa vituko sana!
 

Kumbe waislam mnaabudu Mungu wa israel?

Au mimi Ndio sijaelewa Haya maneno ya Farao kama ulivyonukuu Quran
 
WAISLAM AKILI MGANDO wanampinga FIRAUNI kwa ujumla ila
Team ya taifa ya WAMISRI wana jiita MAFIRAUNI
 
WAMISRI wana jiita Mafirauni na dua wanapiga
 

Sasa mbona mweupe?
 
Tofautisha kati ya kuoza na kukauka, kitu kilichokauka hakiozi! Tamaduni ya Wamisri wa kale iliuwa ni kukausha miili ili iweze kukaa muda mrefu kwa ajili ya kumbukumbu. Na Si mwili wake ramesses the great uliokaushwa kuna mummies kibao.
 
mleta uzi huna hoja ya kutuaminisha kwa unachokieleza, katika hoja zako nimebaini yafauatayo
i)huu uzi umekop na kupaste kwa maana huwezi kuutetea
ii)unataka tuamini mdomo kuliko vitabu ambavyo vishaeleza kwa mapana tu
iii) kama huyo Mh Sese alikuwa mweusi je vizazi vyake vilikuwa na asili gani, kwa maana kuna watu kabla na baada yake je wamefanyiwa uchunguzi?
iv) mzungu anapenda chochote kibaya akihusishe na rangi nyeusi hivyo kuwa makini nae. ipo siku watasema HITLER was Black.
 
god
 
Kwenye kuhaha hapo nani alimsikia akiongea? I guess sio musa na watu wake.
 
Mkuu ni kichekesho kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…