Huyu ndiye Edward Lowassa

BungelaKatiba2014tz

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
1,233
1,500
1. Mtumiaji vibaya madaraka ya Umma:
Ametumia vibaya madaraka yake kwa nyakati tofauti kuhujumu uchumi wa nchi. Mikataba ya Richmond, akiwa mkurugenzi wa kituo cha kimataifa cha mikutano , Arusha(AICC) , akiwa Waziri wa Maji na Mifugo alitumia vibaya madaraka yake vibaya na na kujimbikizia mali na kuliingiza taifa katika hasara kubwa;
2. Ni mwenye Dharau, kiburi na majivuno kutokana na ama silka yake au utajiri wake na hivyo kutaka KUNYENYEKEWA MUDA WOTE
Baadhi ya haya Maneno yake ni ushuhuda wa sifa hizo:
" Hakuna wa kunikata, asiyenipenda ndiye ahame CCM"
" Sina rafiki CCM, NMELOCK AKITAKA ANIFUATE"
NI mtu wa kununua watu, ni hatari sana kwani ukinunuliwa huwezi kuhoji lolote atakaloamua:
Hawa ni baadhi ya aliowanunua. Wamenunuliwa kwa sababu historia ya walioyasema juu yake kama hajahamia CHADEMA inawahukumu
Freema Aikael Mbowe
James Mbatia
Juma Duni Haji
Fredrick Tluwaye Sumaye
Tundu Lissu
Peter Msigwa
John Mnyika
Godbless Lema
4. Ni mtu aliyeshindwa siku zote:
Ameshindwa kupata nafasi ya kugombea urais kupitia CCM, 1995 na 2015. Kingunge anasema mwaka 2015 ameonewa kwa vile Baba wa taifa hakuwepo, lakini kwa vile 1995, Baba wa Taifa ndiye aliongoza kumkataa, hakuonewa
Mwaka 2008 alishindwa kuongoza ofisi wa Waziri ya Waziri Mkuu na kupelekea kujiuzulu
Katika ujanja ujanja wake wa kutaka kwenda ikulu ameshindwa kuwanunua wafuatao:
Joseph Msukuma
Hussein Bashe
Wilbrod Slaa
Prof. Ibrahim Harouna Lipumba
Namelock Sokoine
Peter Serukamba
Sofia Simba
Emmanuel Nchimbi

25/10/2015 pia atashindwa

Ni Mtu mzurumaji na mbinafsi
Amezurumu mradi wa maji wa Arumeru Mashariki- rejea hotuba ya Dr. Slaa kule arumeru
Amezurumu Ranchi za mifugo kule monduli na kuzifanya kuwa mali za familia yake- rejea maneno ya aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Monduli jana wakati anarejea CCM kwenye kampeni zilizofanyika Jijini arusha jana.
Alishinikiza kupewa tsh. Mil. 170 kama mfuko wa jimbo badala ya mil.40

Kati ya Watanzania zaidi ya mil. 45 nitakuwa wa mwisho kutekwa kifikra na kumwamini LOWASSA.
 
MT KILIMANJARO

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
4,218
1,225

Huo wimbo kama ungeupeleka TOT wangefurah lkn sio huku kwa watu wenye akili timamu.
 
okyo

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,009
2,000
Hivi mnadhani mnaweza tushawishi tumeamua tu sasa tunataka mabadiliko
 
MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
1,851
2,000
Mbona hujawela kwenye rist mama yako na Dada ako walio nunuliwa na jamaa fulani wa Moshi anaye gombea Ubunge kwa tiketi ya Magamba?
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,342
2,000
Haya, umemaliza??? Nenda Lumumba kawaambiye wakupe buku 7. Hufai kuwa DC weye baado sana. Kama point zako ndo hizi tu hufai kukitetea chama. Nenda kamtemee mate Mzee mmoja ukiisha andikwa gazetini uje kupata U dc.
 
nuruyamnyonge

JF-Expert Member
Mar 18, 2014
4,180
2,000
Weka huo ushahidi wako hapa niamini maneno yako maana tumechoka sasa. Kila siku porojo tu tutaendelea lini jamani kwa fitina? Nani ametuloga?
 
Prime Dynamics

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
551
250
Tumekusikia but sorry the time now is almost time up!, anything you can try to do now won't change a thing!, in fact it is too little too late!, watu wa maamuzi waliisha amua siku nyingi hivyo hii kitu haisaidii kitu.
Pasco
For the 1st time ktk jf, u made my day.
 
jonnasy

JF-Expert Member
Dec 27, 2013
301
250
1. Mtumiaji vibaya madaraka ya Umma:
Ametumia vibaya madaraka yake kwa nyakati tofauti kuhujumu uchumi wa nchi. Mikataba ya Richmond, akiwa mkurugenzi wa kituo cha kimataifa cha mikutano , Arusha(AICC) , akiwa Waziri wa Maji na Mifugo alitumia vibaya madaraka yake vibaya na na kujimbikizia mali na kuliingiza taifa katika hasara kubwa;
2. Ni mwenye Dharau, kiburi na majivuno kutokana na ama silka yake au utajiri wake na hivyo kutaka KUNYENYEKEWA MUDA WOTE
Baadhi ya haya Maneno yake ni ushuhuda wa sifa hizo:
" Hakuna wa kunikata, asiyenipenda ndiye ahame CCM"
" Sina rafiki CCM, NMELOCK AKITAKA ANIFUATE"
NI mtu wa kununua watu, ni hatari sana kwani ukinunuliwa huwezi kuhoji lolote atakaloamua:
Hawa ni baadhi ya aliowanunua. Wamenunuliwa kwa sababu historia ya walioyasema juu yake kama hajahamia CHADEMA inawahukumu
Freema Aikael Mbowe
James Mbatia
Juma Duni Haji
Fredrick Tluwaye Sumaye
Tundu Lissu
Peter Msigwa
John Mnyika
Godbless Lema
4. Ni mtu aliyeshindwa siku zote:
Ameshindwa kupata nafasi ya kugombea urais kupitia CCM, 1995 na 2015. Kingunge anasema mwaka 2015 ameonewa kwa vile Baba wa taifa hakuwepo, lakini kwa vile 1995, Baba wa Taifa ndiye aliongoza kumkataa, hakuonewa
Mwaka 2008 alishindwa kuongoza ofisi wa Waziri ya Waziri Mkuu na kupelekea kujiuzulu
Katika ujanja ujanja wake wa kutaka kwenda ikulu ameshindwa kuwanunua wafuatao:
Joseph Msukuma
Hussein Bashe
Wilbrod Slaa
Prof. Ibrahim Harouna Lipumba
Namelock Sokoine
Peter Serukamba
Sofia Simba
Emmanuel Nchimbi

25/10/2015 pia atashindwa

Ni Mtu mzurumaji na mbinafsi
Amezurumu mradi wa maji wa Arumeru Mashariki- rejea hotuba ya Dr. Slaa kule arumeru
Amezurumu Ranchi za mifugo kule monduli na kuzifanya kuwa mali za familia yake- rejea maneno ya aliyekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Monduli jana wakati anarejea CCM kwenye kampeni zilizofanyika Jijini arusha jana.
Alishinikiza kupewa tsh. Mil. 170 kama mfuko wa jimbo badala ya mil.40

Kati ya Watanzania zaidi ya mil. 45 nitakuwa wa mwisho kutekwa kifikra na kumwamini LOWASSA.
Naona kichwa hakipo pamoja na mwili anyway una mzazi ambaye ni mjumbe wa NEC maana ndio mliibaki ccm
 
Jan 2, 2015
53
70
Kama kweli lowasa amefanya yote haya akiwa ndani ya ccm basi wenye akili hawana haja ya kuiami ccm.kama ccm ilishindwa kumdhibiti mtu mmoja kwa miaka yote hiyo na hawakumsema kwa wananchi mpaka ameondoka mwenyewe ndo ccm wanaanza kuweweseka,sasa wataweza kudhibiti tatizo la rushwa,ukosefu wa maji na huduma mbalimbali za jamii,tatizo la ajira na matatizo mengine mengi.kama jitu moja liliwashinda kulidhibiti tutawaminije kwa mengine
 
Ellyson

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
1,717
1,195
Pole kwa kujipinda kuandika uzi mreeefu halafu unaambulia kupuuzwa. Poleee
 
Top Bottom