phillipinne
New Member
- Jun 27, 2016
- 4
- 7
Ukiona mpinzani wako anakusifu,jipime na ufikrie ni wapi umekoseaAliyopo hana sifa hata moja.
Molembe 2020 gombea Urais, kwa kuwa inaonekana unazijua sifa za kuwa Rais kiasi cha kutoa hukumu hiyo. Au wewe ni mmoja wa hao VILAZA ama una vyeti vya kugushi! Hukumu iendane na ushahidi.Aliyopo hana sifa hata moja.
Kajifunze lugha ya watu kwanza, au!He have to resign
Ukikubali kutawaliwa na uzembe basi ni lazima utakuwa na mawazo ya kuona kwamba anataka kuabudiwa. Aliyeko Ikulu harembi hata kidogo, hana kabisa usharobaro yeye ni kazi tu....tulienae ikulu sasa hivi ni 'mungu mtu' kazi yake kubwa ni kulazimisha watu wamwabudu...
"Sabung'ori" naamini wewe ni mtu mzima unajitegemea kimawazo pia, ndiyo maana umeweza kubandika hayo maneno humu JF. Vipi udhani kwamba tunalazimishwa na mtu! Labda kama umelazimishwa wewe kuandika hayo!!...tulienae ikulu sasa hivi ni 'mungu mtu' kazi yake kubwa ni kulazimisha watu wamwabudu...
Kwani ni uongo?Molembe 2020 gombea Urais, kwa kuwa inaonekana unazijua sifa za kuwa Rais kiasi cha kutoa hukumu hiyo. Au wewe ni mmoja wa hao ****** ama una vyeti vya kugushi! Hukumu iendane na ushahidi.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
...tulienae ikulu sasa hivi ni 'mungu mtu' kazi yake kubwa ni kulazimisha watu wamwabudu...
Aliyopo hana sifa hata moja.[/QUOTE
Hata kama raisi aliyepo ni mzuri Lakini kama hajapatikana kwa njia halali.
Hili ndio chimbuko la kukosekana kwa uzalendo hivyo kuwafanya watanzania kuwa na roho za chuki na kutoaminiana.
Huu ni ukweli kwani ukiaharibu mwanzo wa jambo lolote matokeo yake ni kutofanikiwa au kufanikiwa kidogo sana .
Tanzania ni kati ya nchi zilizojipatia uhuru wake mnamo miaka ya 1960's kutoka kwa mwingereza, hata hivyo Tanzania ilipata uhuru huo kwa njia ya amani pasipo umwagaji damu.
Nchi hii ilikwepa athari ambazo nchi zingine hupata kutokana na njia za vita katika kupata uhuru.
Pia Tanzania inaminika kuwa na raslimali nyingi za asili kama madini,misitu,Molina,mbuga za wanyama,mito,maziwa,bahari na aridhi yenye rutuba.
Hata hivyo baada ya uhuru Tanzania imeendelea kuwa nchi ya amani pasipo kuwepo vita wala ghasia za kutisha.
Vitu vyote hivi nilivyo vitaja ni mhimu sana kwa nchi kupiga hatua kwa Kasi katika maendeleo katika nyaja zote za maisha kiuchumi,kijamii na hata kisiasa.
Swali la kujiuliza je kuna wiano wa mda,kiasi cha maendeleo kilichofikiwa na raslimali zilizokwishatumika Tanzania mpaka sasa?
Jibu ni hapana.
Vitu hivi havina wiano kwa kuzingatia kiwango cha maendeleo na Kasi mpaka sasa hivilizishi huku kukiwa tayari raslimali nyingi zimekwisha tumika. Mfano elimu bado ni duni, huduma za afya ni duni, huduma za maji na umeme ni duni, barabara na reli ni duni.
Kwa hiyo unaweza kusema kila sehemu ni kama tumejalibu tu ila kuna kiasi kikubwa cha uduni pia umaskini bado upo kwa kiasi kikubwa sana.
Atakayeivusha Tanzania anapaswa kufanya yafatayo;
1. Tanzania itumie raslimali zake kwa maslahi ya watanzania wote.
2. Asimamie nchi pasipo kujali vyama au chama atokacho mtu katika kushughulikiwa na sheria
3. Aimalishe tasisi na sheria
4. Akubali mjadala huru wa kimaendeleo juu ya nchi
5. Siasa safi na utawala bora
6. Maadili kwa viongozi wa umma
Mbona umepata woga mapema hvyo kwani mtoa mada si katoa vigezo tuu.Unakaanga mbuyu halafu unawaacha wenye meno wautafune. Kwani wewe ni kibogoyo? Anza wewe kumtaja mtu anayefaa kutokana na sifa ulizotaja. La sivyo huu ni uzushi wenye malengo machafu.