Mr Cu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,289
- 972
Well said mr mzalendoSerikali ambayo inakimbia jukumu la kuwa mdau nambari moja katika viwanda na kuweka sera mbadala itakayo mfanya mtanzania awajibike katika kuendesha viwanda.
Huku ikiachia wawekezaji kutoka nje ni njia moja wapo ya watanzania kuto faidi matunda ya nchi yao .
Lengo lao likiwa ni kutaka kuwa ridhisha wananchi wawapigie kura bila kuangalia madhara ya muda mrefu hii ni hatari sana