Huyu ndiye atakaye ibeba Taifa stars .

Wachezaji wana nafasi sana

Africa toka bara liundwe ni mara tatu tu tumefika Quarter Final mara 3 tu.

Swali, unadhani timu za Ulaya zina wachezaji bora kuvipita vikosi vyetu?

Mfano, Ivory Coast, Ghana, Nigeria, Cameroun, Senegal kuna kipindi huwa wanakuwa na vikosi vya wachezaji ambao ni A Listed na wanacheza top tier teams huko Europe lakini hatufurukuti WC.

Unajua sababu ni nini?
 
Juzi alimtingisha Wawa akaachia Kombora likagonga Mwamba nkaona uyu Dogo anatakiwa Misri akaionyeshe dunia kipaji chake!..... Kananjaa ya mafanikio atafika mbali
 
Ukweli tulikua hatuna wachezaji wenye malengo.. sasa ivi tuna vijana wengi kama kina msuva, samatta, etc ambao ni fighters.

Wakija kukua kina kelvin, mkomola, ally nganzi etc ambao kwa sasa wanakipiga abroad ukiacha kelvin ambaye soon atakwea pipa nadhani tz tutatisha.

Nakubaliana kwamba taasisi inayo simamia mpira tz haipo vizuri (tff) .. pia wizara ya michezo haijawekeza vyema katika soka hasa kwenye miundo mbinu pamoja na usimamizi wa michezo ya vijana chini ya miaka 20.

Africa toka bara liundwe ni mara tatu tu tumefika Quarter Final mara 3 tu.

Swali, unadhani timu za Ulaya zina wachezaji bora kuvipita vikosi vyetu?

Mfano, Ivory Coast, Ghana, Nigeria, Cameroun, Senegal kuna kipindi huwa wanakuwa na vikosi vya wachezaji ambao ni A Listed na wanacheza top tier teams huko Europe lakini hatufurukuti WC.

Unajua sababu ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli tulikua hatuna wachezaji wenye malengo.. sasa ivi tuna vijana wengi kama kina msuva, samatta, etc ambao ni fighters.

Wakija kukua kina kelvin, mkomola, ally nganzi etc ambao kwa sasa wanakipiga abroad ukiacha kelvin ambaye soon atakwea pipa nadhani tz tutatisha.

Nakubaliana kwamba taasisi inayo simamia mpira tz haipo vizuri (tff) .. pia wizara ya michezo haijawekeza vyema katika soka hasa kwenye miundo mbinu pamoja na usimamizi wa michezo ya vijana chini ya miaka 20.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unachozungumzia ni short-term project, hao wataisha tukiwa hatujafanya chochote.

Succession plans ya kuhakikisha supply ya wachezaji wapo katika kiwango bora muda wote haitakiwi kuangalia mchezaji mmoja mmoja, isipokuwa mazingira ya recruitments, utunzaji wa assets hizo kuanzia kwa kila kitu.

Ni zaidi ya hao ambao ni nguvu binafsi, mfumo unahitajika.
 
Ndio maana nimekwambia wizara husika pamoja na tff wanatakiwa kuwekeza zaidi kwenye mashindano ya vijana chini ya miaka 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 10 wa serengeti boys sio wa sport sport kama wengi wanavyo mchukulia poa kwa sababu ya udogo wake.

Ni finisher hatari sana, kana akili ya mpira . Kama kocha atampa muda mwingi anaweza fanya maajabu huko egypt mwezi huu.

Huwa nawaza kanaweza fikia level za kina eto

View attachment 1119288
Hakuna mchezaji hapo bange tu
 
Ila mkumbuke tunaenda kwenye AFCON,mashindano ya wakubwa na sio u17 au u20.!!
Anaenda kupata uzoefu na dk 5 mpaka 10 za mwisho zitamtosha sana
Amtumie mbwana samatta Kama role model wake na pia mbwana amsaidie dogo kufuata njia yake na pia hata wakala wa samatta angemchukua na huyu dogo.
Akitulia akaachana na zile team za kkoo basi ulaya kunamuhusu.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom