Huyu ndiye atakaye ibeba Taifa stars .

Huyu ndiye atakaye ibeba Taifa stars .

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,706
Namba 10 wa serengeti boys sio wa sport sport kama wengi wanavyo mchukulia poa kwa sababu ya udogo wake.

Ni finisher hatari sana, kana akili ya mpira . Kama kocha atampa muda mwingi anaweza fanya maajabu huko egypt mwezi huu.

Huwa nawaza kanaweza fikia level za kina eto



FB_IMG_1559806762806.jpeg
 
hivi ana miaka ishirini na ngapi huyu?
 
Bwana mdogo anakuja vizuri sana! Tumuase aachane kabisa na mapacha wa Kariakoo!
 
Naomba Mungu tuu wakatumie afcon hata kwa dk 15 kila mechi walau kaonyeshe kipaji chake.


Kuna shuti kalipiga wakati wa AfCON u17 likamshinda kipa wa nigeria na kutinga wavuni toka nje ya 18, juzi juzi hapa hadi Diof wa senegal akasimama jukwani
Yeah nikweli, pia anakipaji cha kucheza popote duniani
 
Naomba Mungu tuu wakatumie afcon hata kwa dk 15 kila mechi walau kaonyeshe kipaji chake.


Kuna shuti kalipiga wakati wa AfCON u17 likamshinda kipa wa nigeria na kutinga wavuni toka nje ya 18, juzi juzi hapa hadi Diof wa senegal akasimama jukwani
Yule hata kuanza naona anaweza kuwa na impact kuliko baadhi ya wakongwe,akipewa nafasi naamini Afcon ndo Itakuwa njia yake ya kutoka
 
Kumbe amesha pata hata vituzo vya kimataifa.

 
Wachezaji wana nafasi sana
Taifa Stars haitabebwa na mchezaji mmoja.

Isipokuwa mipango thabiti ya kuwekeza kwenye mpira kuanzia huku chini. Bila siasa wala ufisadi.

Africa bado sana, sana.
 
Nawaza tu na udogo wake ataeza mudu beki za Senegal, Algeria na Kenya?

Anaweza kuwa mzuri ila atakuwa mzuri zaidi huko mbeleni angalau akishafikisha hata 20yrs na ubora ukawa huu huu nje ya hapo sidhani mwaya kwani kanaeza pangwa kikosi cha kwanza halafu kasifanye chochote ambapo kocha akaishia kufanya Sub.
 
Usiangalie umri.. juzi kamecheza mechi ya hisani Samakiba na kaka funga goli moja ziri sana.

Walau kacheze hata dk 15..

Eto alicheza world cup akiwa na 17.
Nawaza tu na udogo wake ataeza mudu beki za Senegal, Algeria na Kenya?

Anaweza kuwa mzuri ila atakuwa mzuri zaidi huko mbeleni angalau akishafikisha hata 20yrs na ubora ukawa huu huu nje ya hapo sidhani mwaya kwani kanaeza pangwa kakaishia kuomba Sub.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom