MMAHE
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 815
- 420
Majanga,lana alokua nayo bado anaongeza ya kusagana'? Mungu atunusuru na watoto wetu.....
Inasemekana wanatunza ndoa za watu hao. Wasingekuwepo ndoa nyingi za vigogo zingekuwa chali. Kukiwaka moto home kimbilio kwao hadi home kupoe. Masela wenye pesa kidogo huwazukia location, huko bei yao ipo chini sana kuliko kumkuta mtaani.
Aaaaah aaah we acha , kila kitu kinawezekana ..aaaaa