Hiyo picha ilipigwa August 3, 2012 huko Lusaka wakati Mugabe alipotembelea Zambia kufungua mkutano wa mwaka wa kilimo na biashara.
Nimefurahi sana huyu presidaa kichaa kachia ngazi. Bado wanaochakachua katiba ili watawale milele. Moto unakuja kwaoharafu Mzee anatupia superblack kwa hairs
Nchi za afrika hali zetu zinalingana tu haijalishi kuna viongozi aina ya Mugabe au la.Nimefurahi sana huyu presidaa kichaa kachia ngazi. Bado wanaochakachua katiba ili watawale milele. Moto unakuja kwao
Zimbabwe ni ya wazimbabwe na siyo ya Mugabe. Unataka kutawala mpaka utakapochoka ww ni nani? Nchi za kiafrika zimepoa sana. Ingekuwa nchi za wenzetu. ISIS ingemuhusu huyu. Huu ujinga ndiyo ulimgharimu Ghadafi. Uongozi wa mbovu km wa Mugabe na wengine ndiyo unaeaofanya watu wawe masikini.
Kuna lijinga jingine hapa limefuta na ajira za walimu wa arts. Kazi kujifikiria lenyewe.
Shubamiti.
unalingana na nani?Nchi za afrika hali zetu zinalingana tu haijalishi kuna viongozi aina ya Mugabe au la.
Umeandika kwa hisia sanaNimefurahi sana huyu presidaa kichaa kachia ngazi. Bado wanaochakachua katiba ili watawale milele. Moto unakuja kwao
Zimbabwe ni ya wazimbabwe na siyo ya Mugabe. Unataka kutawala mpaka utakapochoka ww ni nani? Nchi za kiafrika zimepoa sana. Ingekuwa nchi za wenzetu. ISIS ingemuhusu huyu. Huu ujinga ndiyo ulimgharimu Ghadafi. Uongozi wa mbovu km wa Mugabe na wengine ndiyo unaeaofanya watu wawe masikini.
Kuna lijinga jingine hapa limefuta na ajira za walimu wa arts. Kazi kujifikiria lenyewe.
Shubamiti.
Na nchi za afrika.unalingana na nani?
Ila mleta mada hakumaanisha picha na ujumbe aliokusudiaHiyo picha ilipigwa August 3, 2012 huko Lusaka wakati Mugabe alipotembelea Zambia kufungua mkutano wa mwaka wa kilimo na biashara.
Hata km lkn kitendo cha kutaka kutawala mpaka ufie madarakani na unataka kuchakachua katiba kibaya zaidi unataka kurithisha uongozi kwa ndugu zako ni uwendawazimu wa PHD.Nchi za afrika hali zetu zinalingana tu haijalishi kuna viongozi aina ya Mugabe au la.
Maelezo yako hayaendani na subject ya thread hii, jamaa haja link hii picha na maelezo yake kiasi kwamba wewe umkosoe, kaweka picha ya mzee Kaunda ili wasomaje wamjue huyo aliemshauri na si vinginevyoHiyo picha ilipigwa August 3, 2012 huko Lusaka wakati Mugabe alipotembelea Zambia kufungua mkutano wa mwaka wa kilimo na biashara.
Waafrika wenyewe ndo malofa na viongozi wao ndo malofa wenye unafuuNchi za afrika hali zetu zinalingana tu haijalishi kuna viongozi aina ya Mugabe au la.
Umezungunzia Gadaffi. Libya ya wakati wake na ya sasa vinafanana?Nimefurahi sana huyu presidaa kichaa kachia ngazi. Bado wanaochakachua katiba ili watawale milele. Moto unakuja kwao
Zimbabwe ni ya wazimbabwe na siyo ya Mugabe. Unataka kutawala mpaka utakapochoka ww ni nani? Nchi za kiafrika zimepoa sana. Ingekuwa nchi za wenzetu. ISIS ingemuhusu huyu. Huu ujinga ndiyo ulimgharimu Ghadafi. Uongozi wa mbovu km wa Mugabe na wengine ndiyo unaeaofanya watu wawe masikini.
Kuna lijinga jingine hapa limefuta na ajira za walimu wa arts. Kazi kujifikiria lenyewe.
Shubamiti.
sawa mjuajiHiyo picha ilipigwa August 3, 2012 huko Lusaka wakati Mugabe alipotembelea Zambia kufungua mkutano wa mwaka wa kilimo na biashara.
Hichi unachofikiria ndicho kilichomponza Ghadafi. Uchoyo na ubinafsi ndivyo vilivyomgharamu Ghadafi. Kwann ujifikirie ww unaweza pekee yako kuliko wengine?Umezungunzia Gadaffi. Libya ya wakati wake na ya sasa vinafanana?
Kwani kuna sehemu kasema hiyo picha imepigwa jana?Hiyo picha ilipigwa August 3, 2012 huko Lusaka wakati Mugabe alipotembelea Zambia kufungua mkutano wa mwaka wa kilimo na biashara.
Tatizo watu wanasahau kuwa hao viongozi hawajatoka mbinguni bali wametoka kwenye jamii yetu hii hii.Waafrika wenyewe ndo malofa na viongozi wao ndo malofa wenye unafuu