Huyu ndio wa kuoa

Huyu ndio wa kuoa

koncho77

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7,811
Reaction score
10,444
Kama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa hangover hazijawahi mwacha mtu salama.

Sent using mazonge yamezidi
 
Kama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukupige konzi la kisogo turestore factory setting za ubongo, uanze kuwaza upya.

Nyinyi ndiyo mnaokuja kulalamika ndoa chungu kisa kukosea kuoa
 
Kama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Jichanganye tu uoe kisha uone balaa lake,mwenzio anakuzoom tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom