heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,041
- 13,379
Na sisi ambao tulilala makwetu tumeamka kwetu kama kawaida tupewe wadhifa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa siyo kupasha kiporo cha pilau tu na kuosha vyombo vya jana na kujilaza pembeniKama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Makabati na masofaNa sisi ambao tulilala makwetu tumeamka kwetu kama kawaida tupewe wadhifa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app