Huyu ndio Vladimir Putin

Huyu ndio Vladimir Putin

Hiki kichwa niligundua hesabu zake pale alipokubali kutoka urais awe waziri mkuu ili agombee urais tena, hakuna anaeweza kusema ni mbinafsi mpenda madaraka.
Mkuu aliombwa afanye hivo au alitaka mwenyewe? mbona wapinzani wanalalamika?
 
anamahesabu yake bwana,anajua Obama anatapatapa hana kwa kupashika,anachofanya Obama anataka ile staili ya yeye amwage ugali na Putin amwage mboga ili mambo yaharibike kabisa Putin anajua faida inayokuja baadaye baada ya Obama kusepa na kinachomsumbua Obama alishatamka kuwa ataenda kuishi Canada endapo Trump akishinda kwa hiyo anaona jealous kwa hao Jamaa kuwa pamoja kikazi
huyu mkenya ni kilazaa kwa kweli huy mama si aliwahi kumsema vibaya 2008
 
McCain":Adhabu aliyotoa Obama ni ndogo ,Congress mpya na Rais mpya lazima imuongezee vikwazo Urusi.

"Ni dharau kubwa kuingilia masuala ndani ya USA

Graham": Congress mpya lazima ipige kura kuongeza vikwazo haswa kwenye benki na gesi ,tunafahamu uchumi wa urusi unayumba

" Pia tushinikize majeshi yaongezwe visiwa vya Baltic na Ukraine kuwa press urusi

NB:kivyovyote Putin hapa hachomoki bado senetors wote wa Dems na baadhi tu wa Reps wapige kura kwenye congress mpya kuongeza vikwazo zaidi, itakuwa fundisho siku nyingine hatoweka pua yake kwenye masuala ya ndani ya USA ..don't play with USA ,anaendesha mafuta yeye ,anacontroll kila kitu .Putin lazima awe mdogo kama panadol

Mbona kaingiliwa na kuchaguliwa Rais ikiwa kama ana control kila kitu? ange control na hiyo basi!
 
Hivi huyu Mkurya obama hawezi kuibaka Katiba na kuogoza kama Kunkurunzisa anatamani kuogoza
 
Hatuna muuaji kama huyo wakristu sisi.
Ila wee bhana!!! We unafikiri dini inarithiwa kama kabila, au ni mtu binafsi ndo anaamua kuchagua anakotaka kwenda. We unafikiri wakiristo wote ni nafsi moja?!!! kila mtu na nafsi yake na matendo yake, huwezu kumcontroll mtu kisa ni wa dini yako.

Muuaji!!! ( we huna dhambi!! Kwa hiyo wakiristo ndo wanafaa kuwa na hiyo dhambi unayoifanya wewe?!!!!)
 
angefukuza wanadiplomasia wa marekani mngekuja hapa kusifia make mlikuwa mshaanza kusema lazima alipe kisasi, saiz hajafukuza mnasifia pia. mibongo bana!
Nimeshindwa kulike mkuu maana naona zimefika tano
 
Sijaona sehem Obama anamiliza vibaya kilichotokea us hutokea Mara nyingi na kubadilishana madaraka ni kawaida
Obama asingeweza kamilisha kila kitu lakini alivyoipokea us kutoka kwa bush kafanya kazi kubwa kuimarisha
Invasion mission kwa us zinatengenezwa pentagon NSA CIA na kwenye vyombo vingine hata trump atafanya hayo hayo maana atakuta ramani na hana kitu atakataa
 
Sijaona sehem Obama anamiliza vibaya kilichotokea us hutokea Mara nyingi na kubadilishana madaraka ni kawaida
Obama asingeweza kamilisha kila kitu lakini alivyoipokea us kutoka kwa bush kafanya kazi kubwa kuimarisha
Invasion mission kwa us zinatengenezwa pentagon NSA CIA na kwenye vyombo vingine hata trump atafanya hayo hayo maana atakuta ramani na hana kitu atakataa
vipi trump akiharibu tena kama bush?
 
Back
Top Bottom