Muhenga aliyesema shukrani ya punda ni mateke kuna uwezekano alikuwa anaongelea wanawake 😀😃😀😃
Just imagine mwanamke unapambana kumtongoza mwisho unampata baada ya kumpata unajitambulisha kwao kama mume mtarajiwa baada ya hapo unaweka mahari.
Angalia sana sasa una mtoa kwao na kumpeleka kwako
Anakula pesa zako Unapambana usiku na mchana ili ale vizuri na kuvaa vizuri. Anazaa mtoto awe wakike au wakiume anakuja kuimba nani kama mama
Lakini pamoja na yote haya uyu unayemlea na kumtunza ndo atakuwa Jaribu lako la kwanza. Atapambana usiku na mchana kushusha thamani yako ili akumiliki vizuri uwe bwege, taila, tatatu lolokwa
Ili apate kukuendesha kama rimoti