sa huku mjini hilo pipa... baiskeli naenda navyo wapi?????
hujanibebesha bado
sio lazima na town ubebe pipa anaonyesha ni jinsi gani anahustle katika maisha... sio udada-duu wa kubaki nyumbani au kutaka ofisi zenye ac
kubaki nyumbani siwezi kubaki pia....., wote tusipotaka ofisi zenye AC, si zitakosa watu sasa.
Wengine wanasema huo ni unyanyasaji wa mwanamke.
kinachotakiwa na kua tiari kama hiyo hari itatokea... sio uanze visngizio na kumkimbia mme
Unapendaaa Kuletewaaaa