Huyu ndio mwanamke wa kuweka ndani

Huyu ndio mwanamke wa kuweka ndani

Huyu safi, sio hawa wamjini chips kuku, kilakitu hovyo.
 
Isije akawa anauza pombe na bidhaa nyingine za ziada...chezea wauza pombe kilabuni wewe
 
Nyie ME kwa unafiki utashangaa akiwa na mke wa hivyo hawezi hata kumtambulisha kwa marafiki zake!
 
Wanawake kama hawa waeshimike Santa.ilà wa siku hizi akiri zao zipo kwenye nywele na kucha.
 
Back
Top Bottom