MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
sa huku mjini hilo pipa... baiskeli naenda navyo wapi?????
hujanibebesha bado
hahahaaaaa shida hiiii
sa huku mjini hilo pipa... baiskeli naenda navyo wapi?????
hujanibebesha bado
Hahahahaha jmn wife material ndo hiviii,ndoa sitakii...
hahahaaaaa shida hiiii
mume wake ukute yuko kilabu cha pombe anagonga wanzuki....
wanawake na waheshimiwe na watu wote
Ndoa na imeshimiwe na watu wote, hiyo uloongea ipo kwenye ahadi kumi za mwanatanu kama wewe si .com
![]()
Huyu nimemkubali sio soft tissue za siku hizi.
Kwenda office za AC ndio maendeleo! Kubeba pipa unyanyasaji. Huu mfumo jike huu.👡👠Wengine wanasema huo ni unyanyasaji wa mwanamke.
sa huku mjini hilo pipa... baiskeli naenda navyo wapi?????
hujanibebesha bado
hhaaa mie wa enzi za mwalimu... huko kwenye .com siko kabisaaa. mwanatanu ndio nini???