Huyu ndio kura yangu

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
11870902_798750443576282_184670937318589606_n.jpg
 
Tunaishi nchi ya kidemokrasia na una uhuru kamili wa kuchagua ye yote unayemwona anafaa hata kama ni fisadi potelea mbali. Uchaguzi ni wako!
 
Ivi mtu unaweza kuwa na akili timamu na unajielewa vizuri afu ukaipenda CCM!!?.....unajua me huwa nashanga sana?.
Aisee tunaitaji kusoma sana kama watz ili kuelewe vizuri mambo...kaa!!!
 
Ivi mtu unaweza kuwa na akili timamu na unajielewa vizuri afu ukaipenda CCM!!?.....unajua me huwa nashanga sana?.
Aisee tunaitaji kusoma sana kama watz ili kuelewe vizuri mambo...kaa!!!
Unavyoshangaa na wengine nao wanakushangaa kwa jinsi unavyoweza kupenda CCM B. Haya mambo yanataka uvumilivu na ukomavu wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom