Huyu ndio kiumbe hatari zaidi Dunia

Kutokana na uwezo wao mkubwa wa kusababisha vifo, kwa kueneza malaria mdudu huyu mdogo anayeruka ameathiri sana mwenendo wa historia ya binadamu mara kadhaa, ikiwemo kuwa na nafasi muhimu katika uhuru wa Marekani pamoja na kuinuka na kuanguka kwa himaya ya Roma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…