huyu ndio JK wetu

huyu ndio JK wetu

mashizo

Member
Joined
Feb 24, 2009
Posts
43
Reaction score
32
hapa yuko mzee mwenyewe steven seagal bado elton john tu amalize kazi
jk.jpg
 
Anafanya colection ya picha za kuweka kwenye mtandao wake wa Facebook!
 
Mimi sichangii hakiyanani nakaa kimya maana nimestushwa, tena baada ya kumtaja sacrificee, its a human sign when things go wrong. nafunga kazi saa hizi naona kama mnaniona vile.
kesho jamani
 
na hapa yuko na nani?
 

Attachments

  • jk na rasta man.jpg
    jk na rasta man.jpg
    51.6 KB · Views: 230
Hapa yuko na Sharobaro wa Bongo ambaye ni Born in Tanzania! Die in Australia!
 
Back
Top Bottom